Mnatupa wakati mgumu saana.

Mnatupa wakati mgumu saana.

[emoji23][emoji23][emoji23] this is hilarious
Unaona sasa. Hii ID hii, ndio nyinyi mnatuchanganya jamani. Wewe umejiunga November halafu tayari unajua kucheka namna hii, huu si utani huu??? Mnatutaftia sababu tu jamani. Tuje PM yawe mengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!

Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!

🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sakayo utaniuaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona sasa. Hii ID hii, ndio nyinyi mnatuchanganya jamani. Wewe umejiunga November halafu tayari unajua kucheka namna hii, huu si utani huu??? Mnatutaftia sababu tu jamani. Tuje PM yawe mengine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😁 Mimi mpya jamani..
Kwani huko PM ndio wapi?
 
Unaona sasa. Hii ID hii, ndio nyinyi mnatuchanganya jamani. Wewe umejiunga November halafu tayari unajua kucheka namna hii, huu si utani huu??? Mnatutaftia sababu tu jamani. Tuje PM yawe mengine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kama nawaona wanaume mnavyochanganykiwa na kubet [emoji23]🤣🤣🤣


Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁 Mimi mpya jamani..
Kwani huko PM ndio wapi?
Hahahahahaahahah

I believe you, lakini hebu angalia screenshots zifuatazo

Screenshot_20191231-084855_Chrome.jpg


Paula ndio hajui PM ni wapi ila mnaofuata mnapajua

Screenshot_20191231-084840_Chrome.jpg


Screenshot_20191231-084829_Chrome.jpg


Screenshot_20191231-084818_Chrome.jpg


Kwa hiyo MKUU NaddySL sidanganyiki na siji PM ng'oooo😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom