Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Sawa ngoja nijipandishe thamaniSasa mbona wajishusha thamani kujiita bibi kokoo.. wakati kuna Mabibi wanalipa acha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ngoja nijipandishe thamaniSasa mbona wajishusha thamani kujiita bibi kokoo.. wakati kuna Mabibi wanalipa acha tu
Unaona sasa. Hii ID hii, ndio nyinyi mnatuchanganya jamani. Wewe umejiunga November halafu tayari unajua kucheka namna hii, huu si utani huu??? Mnatutaftia sababu tu jamani. Tuje PM yawe mengine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unaona sasa. Hii ID hii, ndio nyinyi mnatuchanganya jamani. Wewe umejiunga November halafu tayari unajua kucheka namna hii, huu si utani huu??? Mnatutaftia sababu tu jamani. Tuje PM yawe mengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!
Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
😁 Mimi mpya jamani..Unaona sasa. Hii ID hii, ndio nyinyi mnatuchanganya jamani. Wewe umejiunga November halafu tayari unajua kucheka namna hii, huu si utani huu??? Mnatutaftia sababu tu jamani. Tuje PM yawe mengine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I am telling you!!!!
Unaona sasa. Hii ID hii, ndio nyinyi mnatuchanganya jamani. Wewe umejiunga November halafu tayari unajua kucheka namna hii, huu si utani huu??? Mnatutaftia sababu tu jamani. Tuje PM yawe mengine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I am telling you!!!!
Believe me Aurora mnavyofanya sivyoooo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mambo Dina?? With confidence nakusalimia maana najua huyu Dina, na sijawahi mtokea kwa hiyo kama nkitaka kuzama piyemu nazama tu😀😀😀😀😀😀
😄😄😄😄😄Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!
Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
Hahahahahaahahah😁 Mimi mpya jamani..
Kwani huko PM ndio wapi?
Hahahahahaahahahahhaahha
Muje na ID zenu zile zileSo wat do u suggest tufanyaje ili kuondoa hili tatizo ? [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba unaweza kumpiga sound mtu mmoja mara mbili🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio muache ubazazi sasaKwamba unaweza kumpiga sound mtu mmoja mara mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]