Mnatupa wakati mgumu saana.

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mkuu wacha kabisa, sijui imekuwaje mpaka kuna mabadiliko namna hii. Kwa kweli tunachanganyana sana wajameni.

[emoji23][emoji23][emoji23]poleni sana
 
Ha ha ha kudadeki na ww babe wako lazma awepo mule amekula mtu kimasihara halaf mwenye mume hujui hapo sasa....
Inauma lakini ujue!! Yaaani inauma! Unaona kabisa huu mwandiko wa babe anatoa ushuhuda hukoo!! Mbaya zaidi anatumia fekero!
 
Inauma lakini ujue!! Yaaani inauma! Unaona kabisa huu mwandiko wa babe anatoa ushuhuda hukoo!! Mbaya zaidi anatumia fekero!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]hivi unapita mitaa ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…