Mnatupa wakati mgumu saana.

Upo sahihi sana, ilà kwa u-smart hapo sina uhakika, japo napenda sana utani.
Nina kipaji cha kunusa U-smart wa mtu kupitia maandishi na anavyo socialize.
Kuwa na utani hapamuondolei mtu usmart wake.
Wewe ni miongoni mwa watu bora kabisa niliowagundua hapa jamii forums.
 
Nina kipaji cha kunusa U-smart wa mtu kupitia maandishi na anavyo socialize.
Kuwa na utani hapamuondolei mtu usmart wake.
Wewe ni miongoni mwa watu bora kabisa niliowagundua hapa jamii forums.
Wow... Paula[emoji2960][emoji2960]
Wish you a prosperous 2020 my dear.
 
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!

Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…