Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hebu huko!! Ngoja nikaukaribishe mwaka. Tutaonana Tarehe 14...wewe hapo ni rafiki yangu, yaani my best friend!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu huko!! Ngoja nikaukaribishe mwaka. Tutaonana Tarehe 14...wewe hapo ni rafiki yangu, yaani my best friend!
Si umeona hata wewe huna hakika!! Basi huo ndio ukweli sasa.Acha wivu, Paula kanisifia[emoji39]
Mmmh, nina wasiwasi! Haya tutaonana tar.14, uwe makini katika kusherehekea.Hebu huko!! Ngoja nikaukaribishe mwaka. Tutaonana Tarehe 14.
Kweli mwaka mpya na mambo mapya, uwe unaniruhusu hivi hivi.Mmmh, nina wasiwasi! Haya tutaonana tar.14, uwe makini katika kusherehekea.
Nina kipaji cha kunusa U-smart wa mtu kupitia maandishi na anavyo socialize.Upo sahihi sana, ilà kwa u-smart hapo sina uhakika, japo napenda sana utani.
Wow... Paula[emoji2960][emoji2960]Nina kipaji cha kunusa U-smart wa mtu kupitia maandishi na anavyo socialize.
Kuwa na utani hapamuondolei mtu usmart wake.
Wewe ni miongoni mwa watu bora kabisa niliowagundua hapa jamii forums.
Kumbe tupo wengiNilikuwa napata tabu kuishika hii font.
Nilikuwa naiita New times Roman.
Wewe mpya au wa zamani?
Hiyo ikitokea, ujue ni match made in heaven. Inabidi tu mmalize kabisa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!
Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
Happy New year