Mara moja moja jamani, ila sielewiUle uzi na ww unaupitiaga kumbe kigori?
HapanaUle uzi kumbe mnaupitia kimya kimya sio??!!!
Hivi wakuu nyie mnapata wakati mgumu kama ninaoupata mimi? Hizi IDs za kuanzia 2017 hadi leo 2019 zenye vipost chini ya buku na hazijawahi kuanzisha uzi mnaendaje nazo sambamba nyie?
Halafu zote zina miandiko mizuri mizuri viavatar vizuri na viemoj vizuri vizuri.
Hata ukisema ujaribu kutongoza unajisemea usikute ni fulani yule kaja kwa sura mpya.
swali langu nyie ni wapya au wale wale? Mliobahatika kuingia vyumbani vipi ni wale wale au hawa wapya!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilikuwa napata tabu kuishika hii font.
Nilikuwa naiita New times Roman.
Wewe mpya au wa zamani?
Okay sawa mremboHapana
Huwa nikipita lazima niseme neno
Naomba uache kuwa unafanya hivyo pls.Mara moja moja jamani, ila sielewi
Kweli ni mzuri?Hapana dear!
Kama huo wako ni mzuri sana!
Mkwe basi simu yangu inaninyima mengi.Sogoe mt bold...
LK ndo nini?Wewe ni LK???
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!
Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!