Mnatupa wakati mgumu saana.

Mnatupa wakati mgumu saana.

Mvinyo mpya chupi la zamani
Hivi wakuu nyie mnapata wakati mgumu kama ninaoupata mimi? Hizi IDs za kuanzia 2017 hadi leo 2019 zenye vipost chini ya buku na hazijawahi kuanzisha uzi mnaendaje nazo sambamba nyie?

Halafu zote zina miandiko mizuri mizuri viavatar vizuri na viemoj vizuri vizuri.

Hata ukisema ujaribu kutongoza unajisemea usikute ni fulani yule kaja kwa sura mpya.

swali langu nyie ni wapya au wale wale? Mliobahatika kuingia vyumbani vipi ni wale wale au hawa wapya!

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom