Mnatupa wakati mgumu saana.

Mnatupa wakati mgumu saana.

Kumbe kuwa na post zaidi ya buku na kuanzisha mada ndo kuwa mzoefu! Mimi hata nikae miaka 20 sitoweza fikisha thread hizo. Watu wengine wazembe wa kuandika
 
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!

Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
hahahahah hiyo thread itaishi sana yaan.
 
Back
Top Bottom