Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Mimi wa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba kuuliza mpendwa eti wewe ni wa sasa au wa zilipendwa[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi wa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba kuuliza mpendwa eti wewe ni wa sasa au wa zilipendwa[emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahahaha
Mimi simu ninayotumia ni mbovu nini?Wangu hauwezi kuwa mzuri hivyo jamani!
Unaandika vizuri sana
Natumia Tecno Y2Pole sana hamia tecno.. hakuna strss huku
Hivi wakuu nyie mnapata wakati mgumu kama ninaoupata mimi? Hizi IDs za kuanzia 2017 hadi leo 2019 zenye vipost chini ya buku na hazijawahi kuanzisha uzi mnaendaje nazo sambamba nyie?
Halafu zote zina miandiko mizuri mizuri viavatar vizuri na viemoj vizuri vizuri.
Hata ukisema ujaribu kutongoza unajisemea usikute ni fulani yule kaja kwa sura mpya.
swali langu nyie ni wapya au wale wale? Mliobahatika kuingia vyumbani vipi ni wale wale au hawa wapya!
So Do INatumia Tecno Y2
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!
Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
😂😂😂😂nimecheka kifalaHebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!
Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
We nenda kabadl ID af uone sasa...Aisee
Hivi miandiko mizuri ipoje? Huu huu wa times new roman?
Haya dear
Natumia huo huo dear!Mimi simu ninayotumia ni mbovu nini?
Mimi naona huu mwandiko ni wa times new roman.
Font size 12
Line spacing ni 1.5 ambao na wewe unatumia hivo hivo Sakayo.
Hajawahi tokea
Unacheka nini eti jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kifala
Kwamba nitapendwa mara mbili mtu mmojaWe nenda kabadl ID af uone sasa...