Mnatupa wakati mgumu saana.

Wangu hauwezi kuwa mzuri hivyo jamani!
Unaandika vizuri sana
Mimi simu ninayotumia ni mbovu nini?
Mimi naona huu mwandiko ni wa times new roman.
Font size 12
Line spacing ni 1.5 ambao na wewe unatumia hivo hivo Sakayo.
 
Usithubutu mkuu ni wale wale w 3013 wamekuja kwa ids vipya na picha za warembo wabichi hhaha..
joking
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wangapi walifanikisha kwako kimasihara?[emoji1787]
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!

Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!

Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
😂😂😂😂nimecheka kifala
 
Mimi simu ninayotumia ni mbovu nini?
Mimi naona huu mwandiko ni wa times new roman.
Font size 12
Line spacing ni 1.5 ambao na wewe unatumia hivo hivo Sakayo.
Natumia huo huo dear!
Lakini wewe unaandika vizuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…