Mnatupa wakati mgumu saana.

Aisee kumbe heshima, kuwa judged na kudate hapa watu wanaangalia mwandiko na Avatar ?

What a psychology.

No wonder wengine hatupati demu humu, kumbe issue ni Avatar !!
 
Sasa wewe kama avatar yako mdada anakulilia hata hujali kabisa!! Nani atathubutu kuleta pua yake sasa mkuu?!
 
Kabisaa yaan mahaba dabo dabo imajinii enheee ukija kwa ID ya sakayo mahaba ukija na ID ya Kivuruge mahaba tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo yale ya kudanganyana ukinikuta mbinguni unaniwowa tena!
 
Sasa wewe kama avatar yako mdada anakulilia hata hujali kabisa!! Nani atathubutu kuleta pua yake sasa mkuu?!
Kwa kweli mwaka mpya itabidi uanze kwa Avatar mpya.

Tunapoteza bahati hivi hivi.
 
Nan kaanza kudanganya sasa hapo kama sio ww mwenye ID mbili mm ntasema nmekariri mwandiko wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo yale ya kudanganyana ukinikuta mbinguni unaniwowa tena!
 
Nan kaanza kudanganya sasa hapo kama sio ww mwenye ID mbili mm ntasema nmekariri mwandiko wako
Khaaa
Hivi nikibadili ID nadanganya eeehh, asa namdanganya nani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…