ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ujue hata wewe naogopa tu kukujia huko, manake hayo majina yako siku hizi mmmh![emoji39][emoji39]Am watching you[emoji57][emoji57]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue hata wewe naogopa tu kukujia huko, manake hayo majina yako siku hizi mmmh![emoji39][emoji39]Am watching you[emoji57][emoji57]
[emoji134][emoji134][emoji134]Ujue hata wewe naogopa tu kukujia huko, manake hayo majina yako siku hizi mmmh![emoji39][emoji39]
Sizugi, mnabadilisha sana majina.. tutawatongoza mara mbili mbili.[emoji134][emoji134][emoji134]
Unamzuga nani hapa?
Hiyo ikitokea, ujue ni match made in heaven. Inabidi tu mmalize kabisa sasa.Sizugi, mnabadilisha sana majina.. tutawatongoza mara mbili mbili.
Umependa jina langu au mwandiko Eli?Daby upo sahihi sana mkuu, kuna usernames hapa mimi basi tu najizuia. Huyu Paula Paul basi tu, ujasiri wa kuzama kwa waziri nimekosa tu[emoji39][emoji39][emoji39]
Nimependa both Paula, thank you rafiki happy new yr in advance kwako pia.Umependa jina langu au mwandiko Eli?
Happy new year in advance Eli.
Ndiwooo kaka jamani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]hivi unapita mitaa ile?
Mimi nikiona ID yako nahisi una miaka 35+. Halafu upo smart kiakili na kimwonekano. Pia haupendi ujinga.Nimependa both Paula, thank you rafiki happy new yr in advance kwako pia.
Umependa jina langu au mwandiko Eli?
Happy new year in advance Eli.
Nimependa both Paula, thank you rafiki happy new yr in advance kwako pia.
Kuna mtu atamalizia mwaka kwenye majengo ya serikali vere suni.Mimi nikiona ID yako nahisi una miaka 35+. Halafu upo smart kiakili na kimwonekano. Pia haupendi ujinga.
Asante Eli.
[emoji4][emoji4][emoji4]Kuna mtu atamalizia mwaka kwenye majengo ya serikali vere suni.
Upo sahihi sana, ilà kwa u-smart hapo sina uhakika, japo napenda sana utani.Mimi nikiona ID yako nahisi una miaka 35+. Halafu upo smart kiakili na kimwonekano. Pia haupendi ujinga.
Asante Eli.
Hahaha, happy new year rafiki!!!!Kuna mtu atamalizia mwaka kwenye majengo ya serikali vere suni.
Rafiki yako nani?[emoji57][emoji57][emoji57]Hahaha, happy new year rafiki!!!!
ilà kwa u-smart hapo sina uhakika
..wewe hapo ni rafiki yangu, yaani my best friend!Rafiki yako nani?[emoji57][emoji57][emoji57]
Acha wivu, Paula kanisifia[emoji39]Na kweli.