mnatutega?

mnatutega?

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...jamani hichi kivazi kinachoitwa 'leggings' mimi siafikiani nacho jamani, mnnnh....

nini maoni yenu, maana ishakuwa kivazi cha kawaida sasa hata kama 'camel toe' inaonekana waziwazi...

beyonce-rocks-jean-leggings-trend.jpg
 
...jana mitaani nimeshuhudia kina mama (wengi tu) wa rika mbali mbali wakiwa wametinga kivazi hiki,...

mbaya zaidi kuna wengine wana maungo yale ya kiukweli ukweli,...halafu juu viblauzi vifupi...aaarrrgghhhh!
mitaani tena mchana kweupeee? kina dada mnatutega jamani!
 
Pole Mbu usitegeke bana, hii ni fashion itapita. Sema baadhi yetu tunakosea kwa kuvaa na blauzi fupi, hii inafaa na blauz ndefu inayofunika wowowo.
 
...jamani hichi kivazi kinachoitwa 'leggings' mimi siafikiani nacho jamani, mnnnh....

nini maoni yenu, maana ishakuwa kivazi cha kawaida sasa hata kama 'camel toe' inaonekana waziwazi...

beyonce-rocks-jean-leggings-trend.jpg

Hmmm! Mkuu Mbu we acha tu! We endelea kufaidi kwa macho lakini usiguse. 😉 Juzi juzi nilimuona mama mmoja kavaa hiyo kitu imemkaa vizuri kabisa yaani hiyo "carmel toe" ilikuwa imejidhihirisha wazi kabisa mhhhh! hili vazi Mkuu mhhhhh! 😉
 
Hawa lazima tuwamege si wanatutafutia sababu tangu lini panya kuchezea sharubu za paka?
 
hahaaaaaa my wife wangu naye anavaaga hii,,,safiiiiiiiiii
 
kutegwa muhimu Mbu, bila kutegwa mnaeleweka kwani ha hahahaaaa.
Ila mmm kwa wale waliojaaliwa inatisha esp akiwa na blouse fupi.
 
Ha ha ha! Umenikumbusha enzi ile ya hekaheka za mgambo na polisi kuwakamata kina mama/dada wenye kuvaa mini! Ilikuwa mshikemshike!!! Miaka ya sabini mwishoni
hee mwenzangu ulikuwepo miaka hiyo 🙂
 
Pole Mbu usitegeke bana, hii ni fashion itapita. Sema baadhi yetu tunakosea kwa kuvaa na blauzi fupi, hii inafaa na blauz ndefu inayofunika wowowo.
Hata isipo unika wowowo mimi naona cha muhimu mjitahidi kufunika ile center of gravity,cause hiyo ndio inayo tu tempt zaidi!!!
 
saafi sana! imekaa safi sana nnaipenda ila sitaki wife avae kama
 
Pole Mbu usitegeke bana, hii ni fashion itapita. Sema baadhi yetu tunakosea kwa kuvaa na blauzi fupi, hii inafaa na blauz ndefu inayofunika wowowo.

Kweli kabisa blouse ndefu ndo inafaa, utakuwa wanawake wengine makalio makubwa sana anavaa na blouse fupi yani hata we mwanamke mwenzake unajisikia vibaya.mwili wote unaonekana kama ulivyo
 
hilo vazi lapaswa kuvaliwa na kitu juu yake.
lakini wabongo kwa ushamba wao utakuta mtu anavaa na kablouse kafupi
halafu leggings zinapendezea zaidi mtu mwembamba kiasi chake unakuta mtu mnene makalio hayo mahips balaa naye yumo tu mama nsipitwe
kutegegka hapo inakuwa lazima.
Mbu usijali ni vijimambo tu hivyo vya mpito wala visikusumbue akili.
 
We vipi kwani? Mwembamba au mnene na mikalio yake? Unatinga hizo pamba?
 
saafi sana! imekaa safi sana nnaipenda ila sitaki wife avae kama

siku nikivaa hivo narudishiwa mlangono
ila kama utavaa hiyo tight na blause ndefu ya kufunika makalio yote hapo poa la ni kutegana kweli
 
Pamoja na tego zoooote, but wengi tukishaona ndani ndo basi tena na mng'ao wote unapotea,
 
Back
Top Bottom