mnatutega?

mnatutega?

kwani mbu mkishakuona hiyo 'camel toe' ndo inakuwaje? ........manake sioni mnalalamika nini 😀
 
Hmmm! Mkuu Mbu we acha tu! We endelea kufaidi kwa macho lakini usiguse. 😉 Juzi juzi nilimuona mama mmoja kavaa hiyo kitu imemkaa vizuri kabisa yaani hiyo "carmel toe" ilikuwa imejidhihirisha wazi kabisa mhhhh! hili vazi Mkuu mhhhhh! 😉

...unaona sasa 😀😀😀 hili vazi silo!!!
hivi kweli unaweza kufuatana na mkeo mchana kweupeeee kajivisha hii leggings maungo yote nje nje? hapana bana, kama fashion acha tu ipite, mamsapu marufuku hii!

Noma kweli...
 
kutegwa muhimu Mbu, bila kutegwa mnaeleweka kwani ha hahahaaaa.
Ila mmm kwa wale waliojaaliwa inatisha esp akiwa na blouse fupi.

...sasa mnatutega kwa kosa gani yarabi, hamuoni raha tukitembea bila kuvunja shingo?
 
hilo vazi lapaswa kuvaliwa na kitu juu yake.
lakini wabongo kwa ushamba wao utakuta mtu anavaa na kablouse kafupi
halafu leggings zinapendezea zaidi mtu mwembamba kiasi chake unakuta mtu mnene makalio hayo mahips balaa naye yumo tu mama nsipitwe
kutegegka hapo inakuwa lazima.
Mbu usijali ni vijimambo tu hivyo vya mpito wala visikusumbue akili.

itawezekana wapi kuvumilia bana,...

...fikiria; unajihami na kuchomekewa na daladala, wakati huo huo unachunga vibaka wasichomoe taa, halafu 'matinga tinga' nayo yanakatisha na leggings zao,...

mnatushughulisha kweli majiani!
 
kwani mbu mkishakuona hiyo 'camel toe' ndo inakuwaje? ........manake sioni mnalalamika nini 😀

...tatizo ni 'kwanini' mfululizo zinazoulizwa na mamsapu baada ya mie kufaharisha macho kwa hiyo 'camel toe'...

...hata ukimwambia "kwani wewe hujaona?", anajifanya kuuliza (kama wewe) "...sasa cha ajabu nini?!" ...as if nikimjibu ukweli patalalika salama nyumbani.
 
si kununa huko mkuu! yani unatafuta vita tu...lakini wenyewe watakwambia kutega ndo raha yao...na wanaotega mara nyingi ni wale wasio na copy right bado.....walau kwa uzoefu wangu mdogo
 
...sasa mnatutega kwa kosa gani yarabi, hamuoni raha tukitembea bila kuvunja shingo?
raha ya mwanamke apate attention anapopita hahaaa ila mimi sijawahi vaa hizo lol. sijui nijaribu!
 
itawezekana wapi kuvumilia bana,...

...fikiria; unajihami na kuchomekewa na daladala, wakati huo huo unachunga vibaka wasichomoe taa, halafu 'matinga tinga' nayo yanakatisha na leggings zao,...

mnatushughulisha kweli majiani!
pole ndo ulimwengu wa majaribu huu ndugu yangu. shika sana ulichonacho, vingine vyote fake
 
Hawa lazima tuwamege si wanatutafutia sababu tangu lini panya kuchezea sharubu za paka?

Paka kuhisi ati sharubu zake zinachezewa halafu achumpe akifikiri amepata panya kiulaini anaweza ishia pabaya.
Hizo camel's toe or is it camel's foot waachieni wenyewe..kwani mnadhani hawakujiangalia kwenye kioo kabla ya kutoka majumbani mwao?
MBONA wakaka wakipakia mizigo yao ovyo ovyo hawatutamanishi na badala yake wanatutia kichef chefu..arrggghhhhh!
 
raha ya mwanamke apate attention anapopita hahaaa ila mimi sijawahi vaa hizo lol. sijui nijaribu!

...kaaazi basi, ...apitaye ataka attention, uliyenaye hataki 'macho yale'!

Paka kuhisi ati sharubu zake zinachezewa halafu achumpe akifikiri amepata panya kiulaini anaweza ishia pabaya.
Hizo camel's toe or is it camel's foot waachieni wenyewe..kwani mnadhani hawakujiangalia kwenye kioo kabla ya kutoka majumbani mwao?
MBONA wakaka wakipakia mizigo yao ovyo ovyo hawatutamanishi na badala yake wanatutia kichef chefu..arrggghhhhh!

...VeraCity, si kwakuwa tu huijui ladha ya huo mlo 😀
 
Ladha... mlo....
hebu nifafanulie mwanakwetu maana isije ikawa kuna kitu kinanipita hapa...Dunia pana hii.

...loh, hapana sis VC... siwezi kukufafanulia zaidi ya hapo, acha tu 🙂
 
kapaka kako kanawaza panya na jinsi katakavyomrarua LOL.Its all in the mind kama wale wenye kutegwa na camel'sfoot hahahah.

...ndio maana nikasema utamu wa mlo aujuae mlaji...
 
Basi.... basi Mkuu....
usije kukiuka miiko.

article-1060310-02C196E100000578-672_468x286_popup.jpg

...ndio maana nikakwambia inatosha.
Kwahiyo katika hitimisho ndio tunakubaliana lengo, nia na madhumuni ya
kina dada/mama kuvaa kivazi hiki (fashion ya hii) ni kututega?

Balaa sana basi na ndoa zetu hii za 'mshumaa'...!
 
Back
Top Bottom