Hmmm! Mkuu Mbu we acha tu! We endelea kufaidi kwa macho lakini usiguse. π Juzi juzi nilimuona mama mmoja kavaa hiyo kitu imemkaa vizuri kabisa yaani hiyo "carmel toe" ilikuwa imejidhihirisha wazi kabisa mhhhh! hili vazi Mkuu mhhhhh! π
kutegwa muhimu Mbu, bila kutegwa mnaeleweka kwani ha hahahaaaa.
Ila mmm kwa wale waliojaaliwa inatisha esp akiwa na blouse fupi.
hilo vazi lapaswa kuvaliwa na kitu juu yake.
lakini wabongo kwa ushamba wao utakuta mtu anavaa na kablouse kafupi
halafu leggings zinapendezea zaidi mtu mwembamba kiasi chake unakuta mtu mnene makalio hayo mahips balaa naye yumo tu mama nsipitwe
kutegegka hapo inakuwa lazima.
Mbu usijali ni vijimambo tu hivyo vya mpito wala visikusumbue akili.
kwani mbu mkishakuona hiyo 'camel toe' ndo inakuwaje? ........manake sioni mnalalamika nini π
...tatizo ni 'kwanini' mfululizo zinazoulizwa na mamsapu baada ya mie kufaharisha macho kwa hiyo 'camel toe'...
...hata ukimwambia "kwani wewe hujaona?", anajifanya kuuliza (kama wewe) "...sasa cha ajabu nini?!" ...as if nikimjibu ukweli patalalika salama nyumbani.
raha ya mwanamke apate attention anapopita hahaaa ila mimi sijawahi vaa hizo lol. sijui nijaribu!...sasa mnatutega kwa kosa gani yarabi, hamuoni raha tukitembea bila kuvunja shingo?
kujaaliwa ni kuwa full hips full makalioKujaaliwa nini carmel?
pole ndo ulimwengu wa majaribu huu ndugu yangu. shika sana ulichonacho, vingine vyote fakeitawezekana wapi kuvumilia bana,...
...fikiria; unajihami na kuchomekewa na daladala, wakati huo huo unachunga vibaka wasichomoe taa, halafu 'matinga tinga' nayo yanakatisha na leggings zao,...
mnatushughulisha kweli majiani!
kujaaliwa ni kuwa full hips full makalio
Hawa lazima tuwamege si wanatutafutia sababu tangu lini panya kuchezea sharubu za paka?
Hawa lazima tuwamege si wanatutafutia sababu tangu lini panya kuchezea sharubu za paka?
raha ya mwanamke apate attention anapopita hahaaa ila mimi sijawahi vaa hizo lol. sijui nijaribu!
Paka kuhisi ati sharubu zake zinachezewa halafu achumpe akifikiri amepata panya kiulaini anaweza ishia pabaya.
Hizo camel's toe or is it camel's foot waachieni wenyewe..kwani mnadhani hawakujiangalia kwenye kioo kabla ya kutoka majumbani mwao?
MBONA wakaka wakipakia mizigo yao ovyo ovyo hawatutamanishi na badala yake wanatutia kichef chefu..arrggghhhhh!
Ladha... mlo......
...VeraCity, si kwakuwa tu huijui ladha ya huo mlo π
Hebu ona paka wangu alivyotulia na panya anavyo-bounce juu yake.
Basi.... basi Mkuu.......loh, hapana sis VC... siwezi kukufafanulia zaidi ya hapo, acha tu π
Basi.... basi Mkuu....
usije kukiuka miiko.