Mnauelewaje huu ujumbe wa Humphrey Polepole?

Mnauelewaje huu ujumbe wa Humphrey Polepole?

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Tutalinda Legacy mpaka tutachoka tu maisha yataendelea

Wala lengo la video sio hiyo gitaa
 
Polepole mpige mama spana kutokea ndani ya chama sisi tusio na vyama tutapiga spana kutokea nje hadi apunguze hizo TOZO zake za ajabu ajabu.
 
Naona kwa mbali ukutuni Kuna picha ya Magufuli.
 
Awe na ujumbe gani! Anaomboleza kifo cha mumewe labda.
Hahaaaa!!!ila maisha haya jamani!!kwani ni watu waliokuwa wanaishi maisha kama ya peponi, pamoja na bashiru!!ghafla tu wanaishi kama ndezi, ni vigumu sana kichwa kutulia!!hata kama ungekuwa wewe tu!!!
 
Mavieitee waliyoagiza chamani hawako nayo tena
 
Back
Top Bottom