Mnauhakika hao ni wanajeshi au wale wauwaji wamepewa sare za jeshi

Mnauhakika hao ni wanajeshi au wale wauwaji wamepewa sare za jeshi

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,042
Reaction score
13,383
Msiwe wajinga hao ni wauwaji kamwe msikubali wawaingize kingi
Wamepewa bunduki mpyaaaaaa

Msidanganywe wanajeshi wapo pamoja na nyie nyie jipambanianeni tofauti yenu na wao ni bunduki tu hayo waliovaa ni mavazi tu usitegemee binadamu mwenzio akupambanie fellas

Wale ni wauwaji na wamepewa silaha nzito na magazine za kutosha ready to repeat what they did

Hakuna alisalama ukijificha ndani utakula shaba ukitoka utajua ujitetee vipi

Wameambiwa wamalize kazi isiwwepo tena siku ingine ya watu kuwaza maandamano

Mmeamua tokeni wote asibaki mtu anashangaa shangaa pembeni wote mjae road kuu na mabango, asiwepo watu wa kuvunja wala kuchoma kitu

Msije mkaingia mkenge wakawaambia chochote mkakubali, mkiambiwa twanyika msikubali mmeamua basi kuweni kitu kimoja

Tegesheni hidden camera main roads ziwe na uwezo wa kumulika 1 eneo kubwa kila baada ya mita mia

Mtu unaechukuwa matukio kuwa makini sana sana usionekane ila usiache kuchukuwa matukio kwa uangalifu

Mnaobaki ndani lock mageti yenu mmeamua kukaa ndani kaa ndani usitoe kichwa njee

Wenye maduka mkifunga maduka yenu weka utepe ule wa njano wenye maneno ya tahadhari na ujumbe unaosomeka

Maandamano sio uharibifu tafadhali usharibu mali yangu" funga camera hidden utawajuwa wezi wako baada ya chaos
 
Hiki ndio kipindi unaweza kuvaa nguo za jeshi ukapiga misele na hakuna atakaekuuliza kitu...
Wanacode zao mzee wanajuwana mamluki wa uvccm wana code zao usiposoma wanakuchukuwa shwaah imagine wamepewa adi bullet proof sasa we utaitoa wapi
 
Nyi njooni mtajua siku hiyo hiyo kutakua na spray za kete balaa
 
Uniform ya Jeshi inavaliwa na Wanajeshi tu na hiyo haina mjadala.
Ili mtu uvalishwe nguo ya jeshi lazima uwe umekula kiapo uwe umepitia mafunzo ,uvvcm wapo wamepitia mafunzo yote unayoyajuwa wewe,polisi wapo,vikundi maalum vipo wanachukuliwa kadhaa ,polis kadhaa wanapigwa viapo wanapewa jeszy oda ni moja tu hata watakaopindua nchi sio hao unaowaona road never ever wanamapinduzi wanatokea tu pasipojulikana
 
Usiingie kwenye maandamano ata wakisema wata andamana kwa Amani, Kuna Camera za kurekodi matukio, uki andamana unapewa fuko la fedha.
Ndugu, Nakupenda sikutishi, Usiandamane.
Utakuja kunishukuru baadae.
 
Chai hao ni wajeda mbona Kuna wengine nawafahamu KABISA na stori tunapiga, acheni kupotosha umma
 
Back
Top Bottom