heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Tulikuwa busy kidogo acha nongwa.Usitudanganye… mpo nasisi mbona hamkutoka nje tarehe 30!!
Wanajeshi wenye uchungu wapo kambini na hawana silaha zozote yani tofauti yao na mlio majumbn n sare tu, hao unaowaona ni kikundi tu special cha wazee wa kamati ya wanywa damu.Usitudanganye… mpo nasisi mbona hamkutoka nje tarehe 30!!
Jaribu kuvaa tuoneHiki ndio kipindi unaweza kuvaa nguo za jeshi ukapiga misele na hakuna atakaekuuliza kitu...
Wanacode zao mzee wanajuwana mamluki wa uvccm wana code zao usiposoma wanakuchukuwa shwaah imagine wamepewa adi bullet proof sasa we utaitoa wapiHiki ndio kipindi unaweza kuvaa nguo za jeshi ukapiga misele na hakuna atakaekuuliza kitu...
Ili mtu uvalishwe nguo ya jeshi lazima uwe umekula kiapo uwe umepitia mafunzo ,uvvcm wapo wamepitia mafunzo yote unayoyajuwa wewe,polisi wapo,vikundi maalum vipo wanachukuliwa kadhaa ,polis kadhaa wanapigwa viapo wanapewa jeszy oda ni moja tu hata watakaopindua nchi sio hao unaowaona road never ever wanamapinduzi wanatokea tu pasipojulikanaUniform ya Jeshi inavaliwa na Wanajeshi tu na hiyo haina mjadala.
You got the point wanaobisha waache wabishe si yetu macho utasikia tena wanajeshi wametugeukaJWTZ wako makambini, hawaruhusiwi kutoka.
Hao ni UVCCM, KMKM, Waganda na Polisi Tanzania
NaamWauaji wale
Anaewaongoza unamjuwaChai hao ni wajeda mbona Kuna wengine nawafahamu KABISA na stori tunapiga, acheni kupotosha umma