Mnauhakika hao ni wanajeshi au wale wauwaji wamepewa sare za jeshi

Anaewaongoza unamjuwa
Kaka elewa Kuna washikaji nimepiga nao skuli miaka yote ni wajeda wanafahamika na sahivi ndo wapo road unashupaza shingo nini Sasa mnapotosha kwa manufaa yapi, watu nawafahamu Hadi stori tunapiga nao we unasema sio wajeda unatatizo mkuu
 
Mkuu,swali lake ameuliza,anaye.waongoza unamjua,unazani wao wajinga mkuu wataweka code mpya.zote?
Hkuna anayeweza fanya kazi kizembe hivyo
 
Kaka elewa Kuna washikaji nimepiga nao skuli miaka yote ni wajeda wanafahamika na sahivi ndo wapo road unashupaza shingo nini Sasa mnapotosha kwa manufaa yapi, watu nawafahamu Hadi stori tunapiga nao we unasema sio wajeda unatatizo mkuu
Sawa sijakataa kwani ata wale wauaji hawajulikan hakuna watu waliosoma nao ,asilimia kubwa ya waliokuwa deployed wanzibar ni wengi uyo rafiki yako hana impact yoyote zaid ya kushurutishwa kufanya kinachotakiwa kufanyika
 
Mkuu,swali lake ameuliza,anaye.waongoza unamjua,unazani wao wajinga mkuu wataweka code mpya.zote?
Hkuna anayeweza fanya kazi kizembe hivy
Amekazia anapiga nao stori sasa mtu ukipiga nae story ndo unamjua sana amuulize uyo rafiki yake kapewa magazine ngapi na wenzake wanangapi, amuulize kwanini uyo rafiki yake hana bullet proof ila wenzake wanazo akijibu hilo ntamuambia atumie akili kuna watu wachawi na tunapiga nao story unaweza kua na ndgu ni kitengo tena muuaji na usimjue kiundani, we tambua nilichokuambia na wana silaha mpyaa kabisa nipotoshe ili iweje kwanza inazuia nini au kuongeza nini
 
Usidanganyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…