Tawire
Member
- Apr 21, 2022
- 32
- 64
Habari za jioni wakuu?
Kwa jinsi wachezaji wa Taiga Stars wanavyocheza ni kana kwamba wamelazimishwa kushiriki mashindano haya,wanamgomo wa chini kwa chini dhidi ya uongozi.
Team haina maelewano,wachezaji hawana stamina,poor physic.
Feisal Salum anafunga goli lakini binafsi haamini kama angeweza kufunga.
Strikers wanaliogopa goli la wapinzani,yaani mpaka aibu.