Yanga Tena mkuu c taifa star😅Mambo ya yanga tuwaachie yanga.
Ni yanga mkuu😅Yanga Tena mkuu c taifa star😅
Hawawezi kufika mbali. Kitu chochote ili ufanikiwe vizuri, kinahitaji utulivu wa akili.ngoja tuone watafika wapi
Nadhani jibu umelipata mkuuHabari za jioni wakuu?
Kwa jinsi wachezaji wa Taiga Stars wanavyocheza ni kana kwamba wamelazimishwa kushiriki mashindano haya,wanamgomo wa chini kwa chini dhidi ya uongozi.
Team haina maelewano,wachezaji hawana stamina,poor physic.
Feisal Salum anafunga goli lakini binafsi haamini kama angeweza kufunga.
Strikers wanaliogopa goli la wapinzani,yaani mpaka aibu.
JF imejaa wajuaji! Ulitaka Stars ipoteze uje kukazia uzi wako ila aibu imekukuta. Ulitaka wachezaji wafanyeje zaidi ya hicho walichofanya? Angalau ungezungumzia ubutu wa strikers ungeeleweka.Habari za jioni wakuu?