Ni matangazo ya biashara tu. Nothing practical. Zaidi ni risk ya heart blow. No scientific proof kuwa vina uhusinano na sexual performance. Sexual performance haiwi improved na alcohol au energy drinks. Sexual performance ni lishe bora, mazoezi ya mwili na psychological balance. Mtu uwe na afya yako ya mwili, akili na hisia. Period.Kwa nini uongo
yani wabongo naweza nikasema mchanga unaongeza nguvu za kiume watu wakaanza kuchimba mchangaNaombeni mniambie kitu hapa, nilisikia kuwa ukinywa RedBull unakuwa na nguvu sana za kusex yaan unaweza kusex na demu mfululizo, ina maana bao la kwanza linatoka, unaendelea, ila bado sijathibitisha taarifa hiyo, je kwa wale waliokwisha test ni kweli?
Tunapenda ngono wabongoo hasaa maswala ya nguvu za kiumee..na kwivhikwichi masaaayani wabongo naweza nikasema mchanga unaongeza nguvu za kiume watu wakaanza kuchimba mchanga
Redbull changanya na konyagi Au Dragon changanya na konyag then kamkaze demu Ataomba poo
Redbull ikumbukwe ina mbegu za Ng'ombe dume
Jimena sikuoni makapukuni kuleShark siijui,
Redbull siipendi kama nisivyopenda vinywaji vingine vya sampuli ile
Zanzi ni kama tu Amarula
Zanzin ile chupa ndogo mixer na nyagi msichana hakika utajiona upo peponi for a while 😀Mwenye kujua kazi ya hivi vinyaji afunguke hapa,
Kwa uelewa wangu ni vinatumika kuongeza nguvu za mwili na kufanya ujisikie fiti muda wote.Nazungumzia shark na redbull ,ila kwa zanzi najua inaongeza nyeg£ kwa kina dada.
Upande wa pili vinaongeza safari ya kwichikwichi.
Kwa upande wako wewe ni vp?
hahahahahaha umenichekesha sana eti kufanya matusiRedbull nasikia inatumika na wanajeshi wa USA kuongeza nguvu mwilini. Zanzi ni AMARULA mimi huwa nagonga sana lakini haijawahi kuwa kichocheo cha mie kutamani kufanya matusi
Duu! imebidi nirudi nyuma kusoma nilichoandika awali, kumbe ume reply kwenye comment yangu ya mwaka jana Oktoba, 2016!!!!hahahahahaha umenichekesha sana eti kufanya matusi
Si unajua tena km upo idol unapitia tu thread nyingi nyingi za nyumaDuu! imebidi nirudi nyuma kusoma nilichoandika awali, kumbe ume reply kwenye comment yangu ya mwaka jana Oktoba, 2016!!!!
Haina shida mkemiamkuu, tuko pamojaSi unajua tena km upo idol unapitia tu thread nyingi nyingi za nyuma
HatariDuu! imebidi nirudi nyuma kusoma nilichoandika awali, kumbe ume reply kwenye comment yangu ya mwaka jana Oktoba, 2016!!!!
Kanunue Redbul alafu ujaribuNaombeni mniambie kitu hapa, nilisikia kuwa ukinywa RedBull unakuwa na nguvu sana za kusex yaan unaweza kusex na demu mfululizo, ina maana bao la kwanza linatoka, unaendelea, ila bado sijathibitisha taarifa hiyo, je kwa wale waliokwisha test ni kweli?