Mnavijua hivi vinywaji (shark,redbull na zanzi)?

Mnavijua hivi vinywaji (shark,redbull na zanzi)?

Kwa nini uongo
Ni matangazo ya biashara tu. Nothing practical. Zaidi ni risk ya heart blow. No scientific proof kuwa vina uhusinano na sexual performance. Sexual performance haiwi improved na alcohol au energy drinks. Sexual performance ni lishe bora, mazoezi ya mwili na psychological balance. Mtu uwe na afya yako ya mwili, akili na hisia. Period.
 
Bwana ww kunywa safari lager zako kuanzia mbili uone show yako
 
Nyie wangese hebu kuleni Karanga mbichi, chips dume, muone shughuli yake
 
Naombeni mniambie kitu hapa, nilisikia kuwa ukinywa RedBull unakuwa na nguvu sana za kusex yaan unaweza kusex na demu mfululizo, ina maana bao la kwanza linatoka, unaendelea, ila bado sijathibitisha taarifa hiyo, je kwa wale waliokwisha test ni kweli?
yani wabongo naweza nikasema mchanga unaongeza nguvu za kiume watu wakaanza kuchimba mchanga
 
Redbull nasikia inatumika na wanajeshi wa USA kuongeza nguvu mwilini. Zanzi ni AMARULA mimi huwa nagonga sana lakini haijawahi kuwa kichocheo cha mie kutamani kufanya matusi
 
Redbull changanya na konyagi Au Dragon changanya na konyag then kamkaze demu Ataomba poo

nini kazi ya redbull mwilini na nini kazi ya konyagi mwilini. mtu akifa kwa kutumia hivyo vitu atalalamika?
 
Shark siijui,
Redbull siipendi kama nisivyopenda vinywaji vingine vya sampuli ile
Zanzi ni kama tu Amarula
 
Mwenye kujua kazi ya hivi vinyaji afunguke hapa,

Kwa uelewa wangu ni vinatumika kuongeza nguvu za mwili na kufanya ujisikie fiti muda wote.Nazungumzia shark na redbull ,ila kwa zanzi najua inaongeza nyeg£ kwa kina dada.

Upande wa pili vinaongeza safari ya kwichikwichi.

Kwa upande wako wewe ni vp?
Zanzin ile chupa ndogo mixer na nyagi msichana hakika utajiona upo peponi for a while 😀
 
Naombeni mniambie kitu hapa, nilisikia kuwa ukinywa RedBull unakuwa na nguvu sana za kusex yaan unaweza kusex na demu mfululizo, ina maana bao la kwanza linatoka, unaendelea, ila bado sijathibitisha taarifa hiyo, je kwa wale waliokwisha test ni kweli?
Kanunue Redbul alafu ujaribu
 
Back
Top Bottom