Hapo hadi sehemu yenye ulazima wa kupiga honi watatoa vichwa nje na kupiga mayowe.Nilikuwa napendekeza iwekwe system ambayo ukipiga honi na mafuta yanaisha kama nusu lita kwa kila honi nafikiri hawa jamaa wangeacha kabisa huu ujinga
Huwa sichoki kusema sisi waendesha vyombo vya moto wa Tanzania wengi wetu ni hovyo,Madereva ni wachache mnoooo.Mtu akinipigia horn mahali ambapo siyo sahihi kiufupi ndo huwa namkera zaid otherwise ukiwasikiliza utapata ajali ya kuletewa.Taa ya kijani imewaka tu, kuna mtu huko nyuma anaanza kupiga honi hovyohovyo.
Sehemu ambayo anaweza msubiri mwenzake apite, yeye ameshapiga honi.
Kuna cases nyingi nimeziona madereva wanapiga honi bila ya ulazima.
Binafsi naona ni watu waliokosa subira, wengine sidhani hata kama ni madereva sahihi wa kujua matumizi na mipaka ya kupiga honi.
Naudhika sana mtu anavyonipigia honi bila sababu ya msingi.
Wewe unawachukuliaje watu wa aina hiyo?
Harrier inapiga honi Kali sanaHahahaahahhaha vitz na harrier
Maisha ni kupanga mzee Baba asikuteshe, kwa IST yako, Kuna siku nimeenda yadi kule morocco, wale wahindi na fedha zao zote, wanamiliki IST, sema sisi Ushamba na umaskini ndiyo unaotusumbua, gari ni hitaji la mtu.Mwamba unazichukia IST kishenzi[emoji16][emoji16]
Itafanyakazi tu funga itakusaidia tu.Nataka nifunge honi ya zhong ton kwny passo yangu imekaaje hii inawezekana watalamu
Maisha ni kupanga mzee Baba asikuteshe, kwa IST yako, Kuna siku nimeenda yadi kule morocco, wale wahindi na fedha zao zote, wanamiliki IST, sema sisi Ushamba na umaskini ndiyo unaotusumbua, gari ni hitaji la mtu.
Ha,ha, ha Kunywa soda nitalipa mkuu, hata mimi nawatetea tu, wenye umiliki wa gari hizo kwa jua hili, nimejisajiri na Daladala tu.Mimi mkuu wala sitishiki...tuna enjoy tu hapa maisha
Nb:sina hata mkokoteni