MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Dharau hizi hizi ndiyo vichocheo vya hasira ya jamii.Inasikitisha sana kuona kuna kundi kubwa la wapumbavu wanaowaandama hawa vijana wa kitanzania walioamua kutumia vipaji vyao kujipatia kipato kihalali. Wasanii wanajipambania ila wajinga wengi wanataka hawa vijana wajihusishe na siasa zao za majitaka. Mbaya zaidi kila siku ni kuwatukana kuwa hawajasoma.
Ni kweli wasanii wengi kama ilivyo wanamichezo wengi hawakusoma sana. Wengi waliishia darasa la 7 na kidato cha nne. Anawezaje kusoma sana wakati kwenye umri mdogo ndo kipaji kinaonekana zaidi? Mimi nilianza form one na mwenzetu mwanariadha ambaye aliishia muhula wa kwanza wa kidato cha pili. Tangu akiwa form one alishaanza trip za Ulaya. Kina Bow wow, hayati MJ, Thiery Henry na wengine wengi hawakufika mbali kielimu kutokana na vipaji. Kwa hiyo hata wasanii wetu ni hivyohivyo.
Ni kweli wasanii wana nguvu kubwa ya ushawishi kuliko sisi wengine. Mtu kama Diamond Platinumz ana ushawishi kuliko mawaziri na viongozi wengine wakubwa. Angekuwa pia na kipaji cha siasa angeweza kusumbua sana kama angetaka nafasi za kisiasa. Kina Diamond, Ally Kiba, Harmonize, Shilole wanajulikana na kila mtanzania ndani ya jamhuri ya Muungano. Ushawishi wao ni mkubwa mno.
Kikatiba wasanii wako sahihi kukisapoti na kujiunga na CCM. Hawajavunja sheria. Kuwalazimisha kusapoti itikadi wasizozitaka ni upunguani usioelezeka. Ninawasihi tuwaache hawa vijana wajitafutie riziki zao na sio kuwalazimisha upuuzi wa kujiunga na harakati majitaka za kina Mange, Lissu, Bagonza, na Maria.
Ai lavu yuuuu! 😘😘😘😘💞💞💞Kwanini mnahamisha mijadala?
Hakuna anayetaka wasanii kutokuwa wana CCM na kusupport CCM. The least we can do is dictating them to be on our side.. Waende wakaperform kwenye show wakiitwa, Wanaenda mbali zaidi kutoa kauli za kuwabananga na kuwabagaza wananchi (wakiwemo mashabiki zao) as if wao ni makatibu wa uenezi na hamasa wa CCM.
Ukiwa mwananchi mwenye influence katika jamii yako una wajibu wa kukemea utekaji na mauaji ya kiholela yanayonasibishwa na jeshi la polisi. Muulize Nassibu Abduli aliyokuwa anayapost kuhusu kukemea mauaji Nigeria kwanini alifanya hivyo na kwanini amekaa kimya muda wote kwa yanayofanyika nchini kwao? We must hold them accountable. Watuvumilie.
Jiulize swali , Sasa hivi wanampa pole nani? Kwa kipi kilichotokea? Kilichosababishwa na nani? Ukipata majibu ya haya utaelewa kwanini wanachi wanahamasishana kuboycott wasanii na kazi zao.
Haishangazi ninyi kutokuelewa haya, kwasababu mna commitment ya kutokutaka kuelewa…
Are you even human?Inasikitisha sana kuona kuna kundi kubwa la wapumbavu wanaowaandama hawa vijana wa kitanzania walioamua kutumia vipaji vyao kujipatia kipato kihalali. Wasanii wanajipambania ila wajinga wengi wanataka hawa vijana wajihusishe na siasa zao za majitaka. Mbaya zaidi kila siku ni kuwatukana kuwa hawajasoma.
Ni kweli wasanii wengi kama ilivyo wanamichezo wengi hawakusoma sana. Wengi waliishia darasa la 7 na kidato cha nne. Anawezaje kusoma sana wakati kwenye umri mdogo ndo kipaji kinaonekana zaidi? Mimi nilianza form one na mwenzetu mwanariadha ambaye aliishia muhula wa kwanza wa kidato cha pili. Tangu akiwa form one alishaanza trip za Ulaya. Kina Bow wow, hayati MJ, Thiery Henry na wengine wengi hawakufika mbali kielimu kutokana na vipaji. Kwa hiyo hata wasanii wetu ni hivyohivyo.
Ni kweli wasanii wana nguvu kubwa ya ushawishi kuliko sisi wengine. Mtu kama Diamond Platinumz ana ushawishi kuliko mawaziri na viongozi wengine wakubwa. Angekuwa pia na kipaji cha siasa angeweza kusumbua sana kama angetaka nafasi za kisiasa. Kina Diamond, Ally Kiba, Harmonize, Shilole wanajulikana na kila mtanzania ndani ya jamhuri ya Muungano. Ushawishi wao ni mkubwa mno.
Kikatiba wasanii wako sahihi kukisapoti na kujiunga na CCM. Hawajavunja sheria. Kuwalazimisha kusapoti itikadi wasizozitaka ni upunguani usioelezeka. Ninawasihi tuwaache hawa vijana wajitafutie riziki zao na sio kuwalazimisha upuuzi wa kujiunga na harakati majitaka za kina Mange, Lissu, Bagonza, na Maria.
You really have a calling in BROKEN english. CongratulationsAre you even human?
Do you have any feelings and empathy?
Kaa kimya.Halafu huo umaarufu wa Diamond (DOMO) umetoka kwa wananchi.
Angejifungia huko chumbani na mama ake nani angekuwa na muda nae? Hakuna.
Domo ajue fika kwamba hivyo vijihela vyake vimetoka kwa wananchi, asishupaze shingo kama guluguja atapoteana.
Wananchi ndio waliompa hela akaenda uturuki kutibiwa hilo domo lake mpaka likawa standadi kiasi cha kuweza kuwatukana na kuwakejeli.
Bila kutibiwa hilo domo lake nani angemsikiliza? Domo kubwa linafika mpaka masikioni hadi watoto wakimuona wanakimbia.
Na vile viakaunti vyake vya instagram na youtube tunaweza kuvifyeka akabaki kama nyang'au.
Domo hana la kutuambia, ni kinyago chetu wenyewe.
You really have a calling in BROKEN english. Congratulations
👍