Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni watangazaji wa mwanzoni kabisa wakati ITV inaanzishwa walinogesha mno kipindi cha muziki muziki
Sunday yuko BBC kama sikosei ila Monica sijui alipo nawatakia mafanikio mema
Da long time sana enzi hizo akina Asha Mtwangi,Joyce Mhaville na kipindi chake kulikoni,Chief Ramso wa kwanza unit na kipindi chake cha Muzikimuziki huku kuna comedy za family matters cha steve,fresh prince cha Will Smith bila kumsahau Mikidadi Mahmoud naAhmed Kipozi
Mungu azilaze roho za marehemu Julius Nyaisanga na John Ngahyoma mahali pema peponi.
Umenikumbusha mbali,enzi hizo maigizo ya kina bi kerekani,mzee mombasa na zowa.
Naunga hoja mkono naona itapendeza mno itakuwa bonge la flashbackDeo Mshigeni kama yupo USA!! Mmemsahau Taji Liundi enzi hizo na pia Revola tangazo lake ni balaaa,ipp wanatimiza miaka 20 ningependa hyo siku waweke vipindi vya zamani(recorded) strictly 94-99 both ITV/Radio one!
Naunga hoja mkono naona itapendeza mno itakuwa bonge la flashback
Long tym kwakwel, Two two Seven,Life Goz on,Neibar,Living single, fresh Prince of Bell Air n Family Maters.Watoto wetu, Lea Mwana( Husna) Vitimbi,Vihoja Mahakaman.Da long time sana enzi hizo akina Asha Mtwangi,Joyce Mhaville na kipindi chake kulikoni,Chief Ramso wa kwanza unit na kipindi chake cha Muzikimuziki huku kuna comedy za family matters cha steve,fresh prince cha Will Smith bila kumsahau Mikidadi Mahmoud naAhmed Kipozi
Mungu azilaze roho za marehemu Julius Nyaisanga na John Ngahyoma mahali pema peponi.
Long tym kwakwel, Two two Seven,Life Goz on,Neibar,Living single, fresh Prince of Bell Air n Family Maters.Watoto wetu, Lea Mwana( Husna) Vitimbi,Vihoja Mahakaman.
Kweli nakumbuka tangazo la revola. Tamthilia ya barbarita. Egol place of gold. Yule aliyekua mtangazaji wa watoto aliyekua na ndoto ya kua rubani nadhan ni eddy sultan na mambo mengi. Kweli ITV wakongwe wa habar TZ
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Misanya bingi yupo wap huyu jamaa daah
Ni watangazaji wa mwanzoni kabisa wakati ITV inaanzishwa walinogesha mno kipindi cha muziki muziki.
Sunday yuko BBC kama sikosei ila Monica sijui alipo.
Nawatakia mafanikio mema.