Mnawakumbuka Sunday Shomari na Monica Mfumia?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ni watangazaji wa mwanzoni kabisa wakati ITV inaanzishwa walinogesha mno kipindi cha muziki muziki.

Sunday yuko BBC kama sikosei ila Monica sijui alipo.

Nawatakia mafanikio mema.
 
Ni watangazaji wa mwanzoni kabisa wakati ITV inaanzishwa walinogesha mno kipindi cha muziki muziki
Sunday yuko BBC kama sikosei ila Monica sijui alipo nawatakia mafanikio mema

Da long time sana enzi hizo akina Asha Mtwangi,Joyce Mhaville na kipindi chake kulikoni,Chief Ramso wa kwanza unit na kipindi chake cha Muzikimuziki huku kuna comedy za family matters cha steve,fresh prince cha Will Smith bila kumsahau Mikidadi Mahmoud naAhmed Kipozi
Mungu azilaze roho za marehemu Julius Nyaisanga na John Ngahyoma mahali pema peponi.
 
Umenikumbusha mbali,enzi hizo maigizo ya kina bi kerekani,mzee mombasa na zowa.
 
Deo Mshigeni kama yupo USA!! Mmemsahau Taji Liundi enzi hizo na pia Revola tangazo lake ni balaaa,ipp wanatimiza miaka 20 ningependa hyo siku waweke vipindi vya zamani(recorded) strictly 94-99 both ITV/Radio one!
 
Naunga hoja mkono naona itapendeza mno itakuwa bonge la flashback
 
Da long time sana enzi hizo akina Asha Mtwangi,Joyce Mhaville na kipindi chake kulikoni,Chief Ramso wa kwanza unit na kipindi chake cha Muzikimuziki huku kuna comedy za family matters cha steve,fresh prince cha Will Smith bila kumsahau Mikidadi Mahmoud naAhmed Kipozi
Mungu azilaze roho za marehemu Julius Nyaisanga na John Ngahyoma mahali pema peponi.
Long tym kwakwel, Two two Seven,Life Goz on,Neibar,Living single, fresh Prince of Bell Air n Family Maters.Watoto wetu, Lea Mwana( Husna) Vitimbi,Vihoja Mahakaman.
 
On our own, perfect strangers na bila kusahau martin lawrence. Kweli ITV ilibamba enzi hizo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Long tym kwakwel, Two two Seven,Life Goz on,Neibar,Living single, fresh Prince of Bell Air n Family Maters.Watoto wetu, Lea Mwana( Husna) Vitimbi,Vihoja Mahakaman.

Perfect strangers da kile kipindi nilikipenda kuna jamaa kazi yake ilikuwa kuharibu situation tu.Maigizo Tz walianza wakina bocha na sumbi baadae kidogo wakaja wakina mzee Jongo,Janja,wakina Nyakomba,mama Hambiliki ,Onyango hao wote walitoka RTD.Hyo ilikuwa ITV
 
Kweli nakumbuka tangazo la revola. Tamthilia ya barbarita. Egol place of gold. Yule aliyekua mtangazaji wa watoto aliyekua na ndoto ya kua rubani nadhan ni eddy sultan na mambo mengi. Kweli ITV wakongwe wa habar TZ

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Eddy Sultan nadhani yupo NBC
 
Ni watangazaji wa mwanzoni kabisa wakati ITV inaanzishwa walinogesha mno kipindi cha muziki muziki.

Sunday yuko BBC kama sikosei ila Monica sijui alipo.

Nawatakia mafanikio mema.

Hawa walikua wakishikana na kutomasana ndani ya kipindi, Nilikua kijana mdogo tu wa kuanza kubalehe hivyo kuwatizama hawa ilikua lazima" nisimamishe"
 
Back
Top Bottom