Mnawakumbuka Sunday Shomari na Monica Mfumia?

Long tym kwakwel, Two two Seven,Life Goz on,Neibar,Living single, fresh Prince of Bell Air n Family Maters.Watoto wetu, Lea Mwana( Husna) Vitimbi,Vihoja Mahakaman.

Tausi ndege wangu.. ndege wangu wa thamani..

Mzee kasri ashina rukia kibibi mjuba dama lindi kalumanzila nk
 

Ha ha ha ha Perferct stranger usinikumbushe kwakwel kulikua na chiz fresh Yule kaka lol sijui alikua anaitwa nan mzee wa kuharib tu.Sumbi,Bocha n Bishanga Bashaiga ile ilikua Mambo Hayo we asikwambie mtu ilikua Noma Sana enzi iZo Mixa Mama Kayayii n Otorong'0ng'0 na masakuu.Vitimbi.ITV Daima
 
Je Kipindi cha Comedy cha DESMONDS (Wajamaika wa London)…..
 
Duuu kwetu enz hzo hakukuwa na video
 
Enzi za kina Faudhiat Aboud na Suzan Lukindo ITV. Uncle J,Julius Nyaisanga,Ahmed Kipozi na Charles Hilary wakiwa Radio One.
 
kama sikosei Monica Mfumia ndie muasisi wa kipindi cha chombeza time baadae kidogo alikiendeleza Peace Kuyamba.
 
pia walikuwepo mike mhagama, victoria msina, flora nducha, blandina mungezi, betty mkwasa nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…