Mnawakumbuka Sunday Shomari na Monica Mfumia?

Mnawakumbuka Sunday Shomari na Monica Mfumia?

Long tym kwakwel, Two two Seven,Life Goz on,Neibar,Living single, fresh Prince of Bell Air n Family Maters.Watoto wetu, Lea Mwana( Husna) Vitimbi,Vihoja Mahakaman.

Tausi ndege wangu.. ndege wangu wa thamani..

Mzee kasri ashina rukia kibibi mjuba dama lindi kalumanzila nk
 
Perfect strangers da kile kipindi nilikipenda kuna jamaa kazi yake ilikuwa kuharibu situation tu.Maigizo Tz walianza wakina bocha na sumbi baadae kidogo wakaja wakina mzee Jongo,Janja,wakina Nyakomba,mama Hambiliki ,Onyango hao wote walitoka RTD.Hyo ilikuwa ITV

Ha ha ha ha Perferct stranger usinikumbushe kwakwel kulikua na chiz fresh Yule kaka lol sijui alikua anaitwa nan mzee wa kuharib tu.Sumbi,Bocha n Bishanga Bashaiga ile ilikua Mambo Hayo we asikwambie mtu ilikua Noma Sana enzi iZo Mixa Mama Kayayii n Otorong'0ng'0 na masakuu.Vitimbi.ITV Daima
 
Enzi za kina Faudhiat Aboud na Suzan Lukindo ITV. Uncle J,Julius Nyaisanga,Ahmed Kipozi na Charles Hilary wakiwa Radio One.
 
kama sikosei Monica Mfumia ndie muasisi wa kipindi cha chombeza time baadae kidogo alikiendeleza Peace Kuyamba.
 
pia walikuwepo mike mhagama, victoria msina, flora nducha, blandina mungezi, betty mkwasa nk
 
Back
Top Bottom