From Michuzi:
1. Do! huyu jamaa amenikumbusha mabingwa wengine kama dereva abdallah mgeni wa RTC kibaha, Mnemo Bakari Mnemo, Nganda X Nganda wazamani Dua Wajaad fundi, Chivalavala A Chivalavala,Chasakata wa Chasakata, JFC Vigoron wa nampula msumbiji, Fundi viatu Juma Ramadhan Kamage Wa kata ya Puge nzega Tabora, Leonald Mwakambonje.
2. Zakaria Ndemfoo wa lake babati Salaam Club.
MAELEZO YANGU: Juma Ramadhani Kamage, ni school mate wangu Primary School. Alipomaliza shule ya Msingi Sikonge, alihamia Nzega na tangu hapo sijamuona tena zaidi ya baadaye kumsikia Redioni.
Kwa Sikonge tulikuwa na Mzee Faraji Miraji, fundi cherehani.
Bingwa wa vikwazo dunia nzima Jumanne se Barua Tingisha wa unga Limited ArushaKuna S. Tingisha sijui wa wapi huyu jamani.
Dah mdau hapo umegonga kwenyewe..huyo alikuwa bingwa wa salam enzi hizo
Yupo mmoja anaitwa Saidi wa Mahuta shimboni...
Namkumbuka Wajadi Fundi, ila sina hakika kama alikuwa anaishi Ikwiri au Utete Rufiji. Zimekuwa siku nyingi!!!
Dah mdau hapo umegonga kwenyewe..huyo alikuwa bingwa wa salam enzi hizo
Yupo mmoja anaitwa Saidi wa Mahuta shimboni...
Thobias Mnyani wa uhuru na msimbazi. Rashid nguruwe wa korogwe.Bingwa wa salam tanzania alikuwa Zakaria Ndemfoo,radio zote za kiswahili kuanzia germany,south africa nk lazima utamsikia- Aliwahi kusema asiposikia jina lake redioni hupungua nusu kilo
.Pasco,
Kumbe kununua waandishi wa habari kumeanza siku nyingi? Loohh
Ni vizuri kufahamu hilo maana wengine tunafikiri hii kitu imeanza na ufisadi.
.
Ndugu yangu Sikonge, haikuwa kihivyo. Kwa RTD ya enzi zile, Watangazaji walikuwa ni watangazaji tuu, .......................
Umenikumbusha mbali sana..na hiyo ming'oko hasa ni nini maana sikupata kufahamu hasa walikuwa wanauza nini.Wataalamu wa kuuza ming'oko siyo?
Kulikuwa na mwingine huyu : Hawa kilongo aka super White
Hahaaaaaaa,Mwanakijiji..Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,umenikumbusha vipindi vya Jambo na Mchana Mwema(Pokea Salamu) pale Radio Tanzania bila kusahau kipindi cha usiku cha Kijaruba cha Abdallah Mlawa,hivi vilikuwa ni vipindi maarufu sana vya salamu...Ilikuwa ukisikiliza vipindi hivi ni lazima utakutana na majina haya
1.Issa Hasssan Madjeshi
2.Chidi Chidi Chitenda
3.Chivalavala wa Chivalavala
4.Limonga Justin Limonga
5.Duwa Wajadi
6.Wajadi Fundi
7.Mohammed Kassim Saibaba
8.Jai Sikinde
9.Maalim Shabani Uledi