Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Wavaa kobazi, ili uwe sheikh lazima uwe na ndevu nyingi, uwe mbishi kubishana na wakristo, usiwe na adabu, utembee na watoto wadogo wa kike wanaokuja madrasa, uwe alwatan.....uwe na wake au masuria wengi, Uwe na uwezo wa kulisha watu wanaokuja misikitini kwa ajili ya kula pilau. Na mengineo mengiI salute my kinsmen..
Ujue nimefikiria sana kuona kauli hizi za viongozi wa Bakwata kwa yanaoendelea kwa kumsapoti mkuu wa nchi wakati wenzao kule TEC wao wametoa tamko kali sana kuwa
Vijana waliokamatwa waachiwe haraka,
Hawajaisapoti serikali kwa namna yoyote ile TEC wamenyooka sana
Ila sasa mnapowalaumu hawa wavaa kobazi mnawaonea sana hebu angalia hapa chini ili uone kwanini mnawaonea hao Bakwata..
RAIS WA TEC WOLFGANG PISA ELIMU YAKE
1️⃣ bachelor degree in philosophy ZAMBIA (4 years)
2️⃣bachelor degree in divinity ZAMBIA (5 years)
3️⃣ bachelor degree in theology JORDAN (4 years)
4️⃣ masters of education UDSM (two years)
5️⃣ masters in social ethics USA,(2 years)
6️⃣ PhD in social ethics USA,
Sasa mtu kama huyu hapa juu unaona wazi kuwa akili hake imenyooka na inweza kutambua na kuchanganua hali mbalimbali kwa usahihi kabisa kwahiyo anajua na amesoma na anaelewa anachokiongea kabisa na hata serikali inajua hilo...
HAYA SASA KWA NDUGU ZRETU WAVAA KOBAZI BAKWATA UNAKUTA ELIMU ZAO KAMA KINA SHEIKH NA MUFTI WAO.
1️⃣ Darasa la kwanza Mbande primary
2️⃣ Darasa la pili Bonyokwa primary
3️⃣ Darasa la 3 Kunduchi primary
4️⃣ Anaacha shule kaenda madrasa kusoma ilimu dunia (dunyiaa)
maana kwao wao ilimu dunia sio kitu kabisa chamsingi ujue kusoma juzuu na koroani tu basi mengine hayana maana kabisa ili tu kwenda akhera.
hawachelewi kusalitiana hata wao, wape ubwabwa tu uone kama hawajakukana wazi wazi kabisa..
Waislamu wajitambue sawa ila mnawalaumu bure tu hapo
Sasa mtu anaelimu hiyo hapi juu atawezaje kuchanganua mambo kwa ufasaha kama wenzao wa TEC kule?
Msiwalaumu waislamu wasaidieni ...
Its Pancho
Halafu yanajifanya yana hasira sana! Kumbe mbumbumbu tu!Ila hawa ndugu kwa elimu zao duni bora wawe wanakaa kimya tu kuliko kutoa matamko kwenye mambo yanayohitaji upeo wa kisomi. Wale waendelee na mambo ya dini yao ndio wanayaweza
Umenichekesha mno mkuuWavaa kobazi, ili uwe sheikh lazima uwe na ndevu nyingi, uwe mbishi kubishana na wakristo, usiwe na adabu, utembee na watoto wadogo wa kike wanaokuja madrasa, uwe alwatan.....uwe na wake au masuria wengi, Uwe na uwezo wa kulisha watu wanaokuja misikitini kwa ajili ya kula pilau. Na mengineo mengi
Ulikuwa na hoja nzuriHizo PhD za matamko zimesaidia nini zaidi ya ulawiti na ushoga makanisani?
Bandiko lako la awali ndilo limeanza kwa kuonesha chuki na kashfa kwa waislam. Mimi kama Muslim sishabikii vitendo vya vurugu wala mauaji ya aina yoyote! Hao Bakwata sina affiliatiion hata kama miskiti ina viongozi hao kama ilivyo kwa baadhi ya wanaoipinga TEC au CCT etc!Ulikuwa na hoja nzuri Ila hapa ndio umedhihirisha kuwa umeleta chuki na mimi nimeleta ukweli uliokuuma ..
Pwani hakuna asili ya hayo mambo, ni muingiliano wa culture tofauti ndio umeleta hayo mambo.Swala la ulawiti hivi hujui pwani kwa waislamu ambao ndio majority ndio wanaongoza kwa hayo mambo?
neno la kwanza kwa mafundisho ya Kiislam ni Iqra., "soma". Muhammad aliwaambia wafuasi wake waende kuitafuta elimu hata mpaka China, hawajafungwa kutafuta maarifa.Hili sio la kubisha dini ya kiislamu inapinga elimu ya vitabu yaani elimu dunia sasa sijui unakataa nini? Wakati dini ya kikristo maandiko yanaeleza watu wakatafute maarifa maana hekima ya mtu huanzia hapo..
Je muongozo wa Papa kuhusu ushoga ni opinion ya waumini wake wa kuwa yeye ni kiongozi wenu?Hao bakwata ndio viongozi wenu na wanaongea opinion ya waislamu wanaowawakilisha