Wasalaam wanajamvi.
Leo karibia jiji la Mwanza lote mabomba yanatoa maji, hii ni kawaida yao wakuu wa Idara pindi watembelewapo na ugeni wa viongozi.
Mfano wilaya ya Ilemela kuna maeneo unapita mwezi bila maji. Kwahiyo haya mlioamua kutubless leo siku zote yanaendaga wapi?