Mnawapendea nini kuku wa KFC?

Kuku wa KFC kuna siku watamu kuna siku kawaida, labda ulienda siku ambayo hawako poa. Nilikula MARRY BROWN pale mliman city nikaona kuku wabaya sana, mpaka leo sielewi wale watu wanaojaa pale wanatafuta nini na kuacha kwenda KFC. Nadhan ndio scenario kama yako ilinikuta.
 
Me kuna mwanangu nilimlisha kuku wa kitaa hotel fulani akadai wanapika kuku wabaya yeye kazoea wa KFC
Umenikbusha kuna Jamaa yangu alinunua nyama ya 🐖 sehemu fulan akamaindi sana akasusa hata kuila kisa eti yeye amezoea kula ambayo haijakaushwa sana yaan ile damu damu ndio anayoipendelea sana yaan hapendi ikaushweeee wala hapendi mafuta hata ikichomwa isikaushwe sana

Kwa hio kila mtu ana mapendeleo na machaguo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…