]UANAUME NI KUGANGA NJAA??[/U]
JAY Z ANAGANGA NJAA??
MEMBER YEYOTE WA TAMADUNI MUSIK UKIMSIMAMISHA NA JAY Z NANI ATAONEKANA MWANAUME??
TUSIENDE MBALI
AY tu anawatosha
nitarudi
Mnajifanya wagumu kumbe mashoga watoboa pua! hiphop ilikuwa zamani bana, magangsta wa ukweli walikuwa kipindi hicho na siyo nyinyi watoto wa mama!
kweli kabisa jama ni waganga njaa na ndio uanaume.....wanawake mnapenda kuganga shibe ndio maana mna dharau!!!
Hip Hop usikivu huelewi fuatilia sebene
naona msafara wanafiki ni wengi,ila nauli nnayo mimi ivo hawafiki ata stendi,sipendwi na mapimbi mi ni mshindi kwenye wengi, na ntawaua kwa kuwa nna ngoma nyingi zaidi ya bendi......Songa
kama AY anakutosha sasa JayZ wa nini? acha kuhangaika mdada wewe. HipHop haiitaji your appreciations,we penda usipende jamaa ni wakali. Kaendelee kuimba taarabu na diamond wako
hatujifanyi wagumu,sisi ni wagumu na hatuoni soo kujitambulisha ivyo.....ndio maana 'tikiti maji' kama wewe ukituzingua tunakufanyia 'shambulio la aibu' on the spot...
TAMADUNI MUZIK NI LEBAL MAMA AMBAYO NDANI YAKE KUNA MAKUNDI KAMA ILMATRHX{one incredible,paradox,songa n.k} na MILABA 4 {nash Mc,zaiid,p-the mc n.k} Kuna NIKK MBISHI AMBAYE ALIKUWA "LUNDUNO" KITAMBO PAMOJA NA STEREO AMBAYE SASA HV HAYUPO CHINI YA DUKE TENA YUPO KWA A.Y KIUFUPI TAMADUNI WAPO WENGI SANA AMBAO WANAFANYA MOVEMENT KWA PAMOJA AMBALO NI KUWASILISHA UJUMBE KWENYE JAMII WANA KANDA MSETO,VITABU,ALBUM,MAT-SHIRT

hawa vijana ni noma karibu msasani beach kila jumamosi .. i real enjoy kwa kweli... HIP HOP 4 LIFE ninazo album zao napata darasa tu..