Mnawazungumziaje TAMADUNI MUSIC?

Mnawazungumziaje TAMADUNI MUSIC?

]UANAUME NI KUGANGA NJAA??[/U]
JAY Z ANAGANGA NJAA??
MEMBER YEYOTE WA TAMADUNI MUSIK UKIMSIMAMISHA NA JAY Z NANI ATAONEKANA MWANAUME??

TUSIENDE MBALI

AY tu anawatosha
nitarudi

yeah ndio manaaake mwanaume kuganga njaa,ukipenda mtelemko utaishia kutoa iyo tiGO yako mpaka uchakae mrembo.....

kabla atujawasimamisha Tamadun na Jiga,tusiende mbali tukusimamishe wewe na Elton John sababu mnaendana..
na kwa taharifa yako uyo AY wako ndio anaganga njaa ile mbaya ndio maana hadi sasa ana kafremu ka pamba sinza.
 
Mnajifanya wagumu kumbe mashoga watoboa pua! hiphop ilikuwa zamani bana, magangsta wa ukweli walikuwa kipindi hicho na siyo nyinyi watoto wa mama!

hatujifanyi wagumu,sisi ni wagumu na hatuoni soo kujitambulisha ivyo.....ndio maana 'tikiti maji' kama wewe ukituzingua tunakufanyia 'shambulio la aibu' on the spot...
 
naona msafara wanafiki ni wengi,ila nauli nnayo mimi ivo hawafiki ata stendi,sipendwi na mapimbi mi ni mshindi kwenye wengi, na ntawaua kwa kuwa nna ngoma nyingi zaidi ya bendi......Songa

songa ana iQ kubwa sana ya utunzi sema ndo hvo wanga wanachafua nyota yake wanambania sana watangazaj uchwara
 
kama AY anakutosha sasa JayZ wa nini? acha kuhangaika mdada wewe. HipHop haiitaji your appreciations,we penda usipende jamaa ni wakali. Kaendelee kuimba taarabu na diamond wako

Well na nyie endeleeni kufanya UPUUZI WENU...
 
hatujifanyi wagumu,sisi ni wagumu na hatuoni soo kujitambulisha ivyo.....ndio maana 'tikiti maji' kama wewe ukituzingua tunakufanyia 'shambulio la aibu' on the spot...

Msijali wachumba, tutakupatien uhuru wa kuolewa!
 
hawa vijana ni noma karibu msasani beach kila jumamosi .. i real enjoy kwa kweli... HIP HOP 4 LIFE ninazo album zao napata darasa tu..
 
TAMADUNI MUZIK NI LEBAL MAMA AMBAYO NDANI YAKE KUNA MAKUNDI KAMA ILMATRHX{one incredible,paradox,songa n.k} na MILABA 4 {nash Mc,zaiid,p-the mc n.k} Kuna NIKK MBISHI AMBAYE ALIKUWA "LUNDUNO" KITAMBO PAMOJA NA STEREO AMBAYE SASA HV HAYUPO CHINI YA DUKE TENA YUPO KWA A.Y KIUFUPI TAMADUNI WAPO WENGI SANA AMBAO WANAFANYA MOVEMENT KWA PAMOJA AMBALO NI KUWASILISHA UJUMBE KWENYE JAMII WANA KANDA MSETO,VITABU,ALBUM,MAT-SHIRT
 
waaooo Thank kakaa iko powaaa
 
bila kurahau watoto toka mwanza, young kiler, gheto ambasdor
 
sijajua kwa nini watu wana react negative wakiona watu tunapenda kusikiliza watu positive kama tamaduni muzik?...nadhani moja ya jambo linalowatisha hawa watu ambao ni wanafiki ni kuwa Hip hop ni mziki wa kiharakati sana unawasanua maboya kuijua njia...apo sasa ndo kizazi cha kiduku kinaporeact....kama vijana wameamua kufanya harakati zao za kimaisha kupitia muzik basi tuwasaport...Mtu yoyote ambae anapenda Hip hop lazima upeo wake utakua mkubwa sababu yahtaji upeo kuipata maana ya mistali sasa madogo wengi wa sasa vichwa vyao vyepesi hawapendi kujishughulisha katika kutafakari ndo maana maboya wengi nowdayz madogo form 4 afu sacka tu hadi unashangaa......mi nakubali na kusapport harakati za Tamaduni muzik asilimia mia...nashangaa sana wanaobana wanataka sijui watu kila siku wawe vijiweni wanapiga kaya tu ...thats bullshit
 
Vitendo-Dhidi-ya-Maneno-1024x683.jpg

WASALAAM WAPENZI WA HIPHOP ...
NAOMBA MSUPPORT HII MOVEMENT HAWA VIJANA WANATOA DARASA KILA JUMAMOSI KWA NJIA YA FREE STYLE /MITINDO HURU .. NI VIJANA WATAMADUN MUZIK WAKINA ONE THE INCREDIBLE, STEREO, SONGA, NASH EMCEE, NIKKI MBISHI .. NA VIJANA WENGINE WAKIWA NA PRODUCER NGULI DUKE WA M-LAB..
HAWA VIJANA WANA PUNCH /MISTARI HATARI NI ELIMU TOSHA SANA .. KWELI HIP HOP NI DARASA NAIPENDA SANA PIA HUWA WANAUZA ALBUM ZAO PALE ...
WAPENDA HIP HOP NA MUZIK KWA UJUMLA MNAWEZA KUTEMBELEA KILA JUMAMOSI MSASANI BEACH CLUB KUANZIA SAA 8 MCHANA KARIBIA NA ZANTEL , NJIA YA KWENDA MSASANI - PALE UBALOZI WA MAREKANI
KAULI MBIU YAO NI VITENDO DHIDI YA MANENO
NIMEANZISHA THREAD KULE JUKWAA LA BURUDANI... MIMI HUWA NIKIPATA WASAA NAKWENDA PATA DARASA PALE ..
https://www.jamiiforums.com/enterta...tendo-dhidi-ya-maneno-hip-hop-revolution.html
 
Nachana kwa mistari hii chanya"karibu kwetu tamaduni music tunafanya"wachache wanabana but I promis you tuko pamoja sana"word up tamaduni!
 
Back
Top Bottom