Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Ili kuzima swala la CCM na Nchimbi mnaweza kushangaa kila jambo mpaka mkuu wa mkoa kafanya makamo wa raisi.
Hii code inalenga nini na mada zao na mtashangaa jambo la Zanzibar kuwa utawala wa manyema na udini na mwisho wasiku mtaona ....
Hii code inalenga nini na mada zao na mtashangaa jambo la Zanzibar kuwa utawala wa manyema na udini na mwisho wasiku mtaona ....