Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
[emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23]kaoa slay queenFanya mwenyewe, unataka ufanye naye kwanini wakati ulishajua hataki??
Wewe ukilianzisha huweza akahamasika!
Eeh wale waliooa ma slay queen, mje mumshauri mwenzenu!
nimefuzwa kutokua mmimi kwenye ndoa nataka tuinuke pamoja kama familiaFanya mwenyewe, unataka ufanye naye kwanini wakati ulishajua hataki??
Wewe ukilianzisha huweza akahamasika!
Eeh wale waliooa ma slay queen, mje mumshauri mwenzenu!
nimekuelewa kupita maelezo asante mkuuKuna mambo mawili either hana akili za maendeleo or wale wa kuambiwa mwanaume au mwanamke siyo ndugu yako ,Fanya mipango yako kimpango wakoo!!
Maana siku hizi jamani kuna makungwi uchwara[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]balaa!!wakati wao na wenza wao Chanda na Pete!
Haya maisha watu wanakariri kwa kua Fulani alitendwa baasi wengine nao wanaishi kwa history wakati sio kweli!
Mhimu nakushauri pambana mwanaume kiume kama hataki mshee we komaa tu utatoboa wewe ndo baba!!!
hakika nimechagua kujitwikaTua huo mzigo, kama huwezi basi beba msalaba wako.
suti yenye mfuko mmoja si suti mkuu,afu hakuna nilipoandika unaangaliwa mfuko wake ili maendeleo yatokeeSUTI MOJA MALENGO MIA
Punguza maneno ya kujifanya una malengo mengi kuzidi mfuko wa mwenzio unasemaje.
afu yeye afanye nini mkuuSasa maendeleo si ufanye wewe uliye sharp????
Msingi kiuno karidhika! Yeye mwenyewe kazubaa, eti kafundishwa wanyanyuke pamoja![emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23]kaoa slay queen
MrejeshoWamama/wababa mnawezaje kuishi na binadamu mzito kiasi hichi? Kila unachomwambia haonyeshi response positive hata siku moja ye kila kitu ni subiri subiri, hataki hata kuulizwa malengo yake yani ye ilimradi mmekula mmelala basi mwaka unaanza mwaka unaisha hamna chamaana mnachofanya embu mje mnambie, mmewezaje jmn kufanya maendeleo kwenye familia zenu?
Natanguliza shukrani kwa ushauri positive wenye kujenga pia naombeni mkinionea CONTROLA huko mniitie ashauri kwenye maswala ya biashara tuinuane mwanzo wa mwaka huu.
Hili nalo neno. Kuna watu kwa malengo hawajambo. Kwenye vitendo sasaSUTI MOJA MALENGO MIA
Punguza maneno ya kujifanya una malengo mengi kuzidi mfuko wa mwenzio unasemaje.