Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
Wamama/wababa mnawezaje kuishi na binadamu mzito kiasi hichi? Kila unachomwambia haonyeshi response positive hata siku moja ye kila kitu ni subiri subiri, hataki hata kuulizwa malengo yake yani ye ilimradi mmekula mmelala basi mwaka unaanza mwaka unaisha hamna chamaana mnachofanya embu mje mnambie, mmewezaje jmn kufanya maendeleo kwenye familia zenu?
Natanguliza shukrani kwa ushauri positive wenye kujenga pia naombeni mkinionea CONTROLA huko mniitie ashauri kwenye maswala ya biashara tuinuane mwanzo wa mwaka huu.
Natanguliza shukrani kwa ushauri positive wenye kujenga pia naombeni mkinionea CONTROLA huko mniitie ashauri kwenye maswala ya biashara tuinuane mwanzo wa mwaka huu.