LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Kuishi na mtoto wa kambo kunahitaji unafiki wa hali ya kiwango cha SGR,
Hebu fikiria kuna wakati hata wife ananichukia sababu sicheki na mtoto anapokosea je? Wangekuwa ni wakambo ingekuwaje?
Mfano. Juzi nimembeba mtoto akawa analia kwa sauti mama alikuwa na kazi zingine ikabidi nimwambie njoo umchukue mwanao haraka.
Fikiria angekuwa sio mtoto wangu ingekuwaje?