How?I can't wait....๐
That's is none of your concern mkuu...How?
Huyo unatakiwa kumchekeshachekesha, mpaka mwenyewe anasahau kulia anacheka.Kuishi na mtoto wa kambo kunahitaji unafiki wa hali ya kiwango cha SGR,
Hebu fikiria kuna wakati hata wife ananichukia sababu sicheki na mtoto anapokosea je? Wangekuwa ni wakambo ingekuwaje?
Mfano. Juzi nimembeba mtoto akawa analia kwa sauti mama alikuwa na kazi zingine ikabidi nimwambie njoo umchukue mwanao haraka.
Fikiria angekuwa sio mtoto wangu ingekuwaje?
Nilimjibu kulingana na kichwa cha mada... Ila kwa scenario yake nadhani ni mazoea yetu ya mtoto akizingua ni wa mama๐๐๐ tofauti na akifanya jambo zuriUmemuelewa mtoa mada...
Anauliza ""Mkewe angemfikiriaje"" kwa kauli kama "" Njoo umchukue mwanao" halafu sio mtoto wake..!!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
You can not wait to see himI can't wait....๐
Mithali 10:1Nilimjibu kulingana na kichwa cha mada... Ila kwa scenario yake nadhani ni mazoea yetu ya mtoto akizingua ni wa mama๐๐๐ tofauti na akifanya jambo zuri
YNWA๐
YANGA BINGWA๐
Kama hauna upendo kwa watoto haijalishi kama ni wako umezaa ama sio wakwako.Kuishi na mtoto wa kambo kunahitaji unafiki wa hali ya kiwango cha SGR,