Kula matundaSijawahi kuelewa kabisa mtu anakulaje ugali mboga saba kwa raha mustarehe akifurahia chakula, wengine wanaita kucheza drafti.
Mimi chakula kikizidi mboga tatu huwa naona kizunguzungu tu saa ya kula. Pia mboga zikiwa nyingi sana tofauti tofauti ugali huwa unawahi kuisha mboga zinabaki inabidi niendelee kula mboga tu. Tatizo linakuja kama mboga mmojawapo iliyobaki ni mlenda.
Mambo ya mboga saba yamekaa zaidi kama sifa za kijinga, ulafi, uharibifu wa chakula na kupoteza muda tu.
View attachment 3109099
Aiseee mimi maximum mboga tatu tu ikizidi hapo nitaacha nyingine.Sijawahi kuelewa kabisa mtu anakulaje ugali mboga saba kwa raha mustarehe akifurahia chakula, wengine wanaita kucheza drafti.
Mimi chakula kikizidi mboga tatu huwa naona kizunguzungu tu saa ya kula. Pia mboga zikiwa nyingi sana tofauti tofauti ugali huwa unawahi kuisha mboga zinabaki inabidi niendelee kula mboga tu. Tatizo linakuja kama mboga mmojawapo iliyobaki ni mlenda.
Mambo ya mboga saba yamekaa zaidi kama sifa za kijinga, ulafi, uharibifu wa chakula na kupoteza muda tu.
View attachment 3109099
Msosi wa drafti mboga saba kujiseviaaa kwetu ngangari dona bamia weeeeeee - Triple 5 Babu.tafsiri maana na sio maneno!.. mboga saba maana yake sio ulaji wa mboga saba ni mtu mwenye kujimudu kiuchumi ama mtu asiefukara hii ndo tafsiri yake...
Ya saba ugali.Mbona hapo zipo 6😀
Kula kulingana na urefu wa kamba yakoSijawahi kuelewa kabisa mtu anakulaje ugali mboga saba kwa raha mustarehe akifurahia chakula, wengine wanaita kucheza drafti.
Mimi chakula kikizidi mboga tatu huwa naona kizunguzungu tu saa ya kula. Pia mboga zikiwa nyingi sana tofauti tofauti ugali huwa unawahi kuisha mboga zinabaki inabidi niendelee kula mboga tu. Tatizo linakuja kama mboga mmojawapo iliyobaki ni mlenda.
Mambo ya mboga saba yamekaa zaidi kama sifa za kijinga, ulafi, uharibifu wa chakula na kupoteza muda tu.
View attachment 3109099
Mboga saba haina maana ule zote. Ni mini buffet nyumbani unachagua mboga uipendayo.Sijawahi kuelewa kabisa mtu anakulaje ugali mboga saba kwa raha mustarehe akifurahia chakula, wengine wanaita kucheza drafti.