Mnawezaje kula wali?

Mnawezaje kula wali?

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!

Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa sisemi tu lakini huwa nimipakuliwa naishia kula vijiko vizisivyozidi 2,yaani mdomoni nitauweka lakini kooni hautopita kabisa!

Sijajua wenzangu mnawezaje kula wali!

Yawezekana nikaonekana mshamba lakini kiukweli nakiri hadharani kabisa wali ni chakula ambacho kimenishinda!

Yaani uminiwekea hata wali uliojaa kikombe na ukaniwekea Tsh 1 m nikimaliza nichukue hiyo pesa,kiukweli sitomaliza!

Nimekuwa nikimuuliza Bi mkubwa wakati nikiwa mdogo Hali ilikuwaje,aliniambia nilikuwa nikiona wali kwenye sahani namwaga chini Kisha naufinya finya!

Huwa nikiona mwanaume anakula wali namshangaa sana,pia na wao wananishangaa Mimi Kwa kutokula wali!

Sote tunashangaana!
 
UMUGHAKA wa baghaka
 
Wali???
Sijaelewa wali gani kwa kweli,
 
Nadhani Kuna siku mwanangu wa kiume atakuja kuuliza ukubwani "hivi mnawezaje kula nyama?" Maana hataki haki kuziona.

Cha ajabu kuku wa kukaangwa anakula😳🙄🤔
 
Hiyo ni Allergy mzee na sio kingine hakuna chakula kitamu duniani kama wali..zaidi ya asilimia 70 ya chakula kinacholiwa duniani kwa siku ni wali.Nakushauri tafuta dawa ya kuondokana na huo mzio ,unakosa uhondo.
 
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!

Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa sisemi tu lakini huwa nimipakuliwa naishia kula vijiko vizisivyozidi 2,yaani mdomoni nitauweka lakini kooni hautopita kabisa!

Sijajua wenzangu mnawezaje kula wali!

Yawezekana nikaonekana mshamba lakini kiukweli nakiri hadharani kabisa wali ni chakula ambacho kimenishinda!

Yaani uminiwekea hata wali uliojaa kikombe na ukaniwekea Tsh 1 m nikimaliza nichukue hiyo pesa,kiukweli sitomaliza!

Nimekuwa nikimuuliza Bi mkubwa wakati nikiwa mdogo Hali ilikuwaje,aliniambia nilikuwa nikiona wali kwenye sahani namwaga chini Kisha naufinya finya!

Huwa nikiona mwanaume anakula wali namshangaa sana,pia na wao wananishangaa Mimi Kwa kutokula wali!

Sote tunashangaana!
Aliyezowea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.
 
yaani wali ulishakushinda?
 
Kuna uhusiano gani kati ya kula wali na jinsia? Au punje za mchele unaziona kama shanga?
 
We jamaa hata malaika huwa wanakushangaa, kwenye chaneli ya viburudisho mbinguni (Tanzania TV), una kipindi chako hapo ambacho akina Gabriel huwa wanashuhudia maajabu 7 ya dunia ya kiumbe asiyekula wali Tanzania
 
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!

Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa sisemi tu lakini huwa nimipakuliwa naishia kula vijiko vizisivyozidi 2,yaani mdomoni nitauweka lakini kooni hautopita kabisa!

Sijajua wenzangu mnawezaje kula wali!

Yawezekana nikaonekana mshamba lakini kiukweli nakiri hadharani kabisa wali ni chakula ambacho kimenishinda!

Yaani uminiwekea hata wali uliojaa kikombe na ukaniwekea Tsh 1 m nikimaliza nichukue hiyo pesa,kiukweli sitomaliza!

Nimekuwa nikimuuliza Bi mkubwa wakati nikiwa mdogo Hali ilikuwaje,aliniambia nilikuwa nikiona wali kwenye sahani namwaga chini Kisha naufinya finya!

Huwa nikiona mwanaume anakula wali namshangaa sana,pia na wao wananishangaa Mimi Kwa kutokula wali!

Sote tunashangaana!
Inawezekana dhahiri shahiri Bado hujakutana na Punje lililo nyooka la kwenye msiba
 
Nadhani hii ni aina ya riwaya katika mwendelezo wa simulizi zako.

Duniani humu kuna vyakula vya kila aina ambavyo mtu akila huvipenda na vingine akila havipendi, humshinda kutokana na ladha yake ama kutokana na kukataana na mwili wake(mzingo).

Sasa utamshangaaje mtu ama yeye atakushangaaje wewe kukuona ukishindwa kula wali wakati jambo hilo linaeleweka?

Nd'onikasema, hizi ni hadithi zako tu, maana waandishi ama watunzi wa riwaya mkikosa cha kuandika huanza kuokoteza maneno ama kupika matukio.
 
Back
Top Bottom