Mnawezaje kutumia Internet ya halotel?

Mnawezaje kutumia Internet ya halotel?

halotel ndio natumia haijawahi kuniangusha.
 
Yaani mtandao utopolo haswa, nimeunga GB 3 za wiki yaani internet iko slow sana mwendo wa kobe. Hivi wenzangu mnawezaje kutumia mtandao huu?

Narudi zangu Zantel
Mkuu upo wapi? Nipo Kibaha Town, nafurahia kifurushi cha 4G kama sipo TZ vile!
 
Yaani mtandao utopolo haswa, nimeunga GB 3 za wiki yaani internet iko slow sana mwendo wa kobe. Hivi wenzangu mnawezaje kutumia mtandao huu?

Narudi zangu Zantel
Ahsante sana, tupishe sisi tuendelee kufurahia MB za buku kwa wiki mzima
 
Yaani mtandao utopolo haswa, nimeunga GB 3 za wiki yaani internet iko slow sana mwendo wa kobe. Hivi wenzangu mnawezaje kutumia mtandao huu?

Narudi zangu Zantel

Hawa Mbwa mwitu wananiuzi sana juzi nimeweka elfu 3 Gb 10 usiku nimepakua movie zangu ikafika saa 10 nikaongeza nyingine baada ya kuongeza wakakata network mpk asubui
 
Inategemea na eneo ulipo mimi huwezi kuniambia lolote kuhusu internet zaidi y halotel
Hakuma mitandao hapa Tanzania Kama Vodacom licha ghalama za vifurushi Ni kubwa,haichagui eneo lolote,mitandao mingine ni za mijini tu.
 
Back
Top Bottom