Mnawezaje kutumia Internet ya halotel?

Mnawezaje kutumia Internet ya halotel?

Hivi nyie mnaolalamikiaga Halotel huwa mnaishi wapi? Mbona wengine tunatumia na kufurahia kabisa kiasi kwamba natazama mpaka mechi na movies online?
 
Yaani mtandao utopolo haswa, nimeunga GB 3 za wiki yaani internet iko slow sana mwendo wa kobe. Hivi wenzangu mnawezaje kutumia mtandao huu?

Narudi zangu Zantel
Mtu unatumia nokia kitochi halafu utegemee ku enjoy 4G ya halotel, acha kabisa halotel hana mpinzani kwenye bundle za internet....
 
Huyo atakuwa anakaa korongoni huko majimatitu, halafu anatumia kitochi......
 
Mtu unatumia nokia kitochi halafu utegemee ku enjoy 4G ya halotel, acha kabisa halotel hana mpinzani kwenye bundle za internet....
Mimi simu yangu 4g Tgo Na Voda zinakimbiza 4Mb/s lakini Halotel ipo 14kb/s
Halotel Ni town Tu mzee Tena maeneo Na maeneo.
Wewe kama eneo lako umebahatisha usiwacheke wengine au kusifia Huo mtandao wa kipuuzi
 
Mkuu tatizo mnatumia device feki za kichina mnazonunua kariakoo, mimi halotel niwe nyumbani niwe ofisini kasi yake imesimama vilevile. Nafanya streaming online hata masaa matatu hakuna interruption.....
 
Yaani mtandao utopolo haswa, nimeunga GB 3 za wiki yaani internet iko slow sana mwendo wa kobe. Hivi wenzangu mnawezaje kutumia mtandao huu?

Narudi zangu Zantel
Ondoka huko Kisemvule. Njoo sehemu za miinuko Kama Kimara, Goba u enjoy.
2.85k ....GB 3 KWA WIKI
 
Back
Top Bottom