Mnawezaje kwenda zaidi ya dk 60 bila kuachia bao la kwanza?

Mnawezaje kwenda zaidi ya dk 60 bila kuachia bao la kwanza?

kingkongtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
1,058
Reaction score
3,613
Wakuuu mko poaa

Nikiwa napiga piga story na wanaume wenzangu wanaibuka na kudai wao bao la kwanza bila ya zaidi ya dk 60 halitoki.

Kuna bro wangu na yeye anasemaga ivo, akichakata bao la kwanza ni kuanzia dk 40 na kuendelea.

Humu JF pia wengi nawaonaga wakikomenti et hata saa 1 inaweza ikafika bila kuachia bao la kwanza.

Au mi ni mgonjwa[emoji3][emoji3] yaan nikazamisha ndani ya papuchi hata dakika 6 ni nyingi najikuta tayari (hata nijizuie vipi).

Bao la pili ndo naweza enda hata dk 15, bao la tatu naenda nusu saa, bao la nne labda malaika ashuke.

Nafeli wapi wakuu, kama ni mazoezi napiga sana tu.

Kuhusu mke wangu yeye ndo ananiombaga tupumzike amechoka, ila kwa story nazokutana nazo JF na mitaani najionaga mweupe kabsaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu mapenzi sio vita, kwa mwanaume hiyo yako ndio normal kwanza lazima liwahi hizi story huwa watu wanapeana tu lakini huwa hakuna proof yeyote kwa kuwa ni faragha hata ukidanganywa huwezi elewa, kila mtu anataka kuonekana kidume hata kama sio labda kama wanatumia Viagra
 
Dah watu wanadanganyika na porn bila kujua ni edited na wanatumia madawa.

Nachojua utamu wakuchakata ni kupiga bao kwa mwanaume kukaa sana ni kujichelewesha utam kisa kuonekana kidume

Kuchakatana ni zaidi ya ingiza toa
 
Back
Top Bottom