Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Siwezi ujinga huu kamwe.Hata leo wakati natoka sokoni kwenye bajaji nimekutana na kaka mmoja kwa mara ya kwanza na huwe amini aliniuliza tushuke wote twende tukapoe mahali (guest). Na ni mkaka wale senior wanaolekea kwwnye ubaba (45+). Niliona maajabu sana ...nkamjibu huwa sinaga tabia ya ku do na strangers.
Wanaume na wanawake wameirahisisha sana sex kwakwelii ya lisaa ushatongoza umekubaliwa na unakula saaafiii kabisa.
Sasa kwa haya ya hivi ukiombwa kodi na mtu siku hii hii ya kwanza utalalamika??
Mungu hakukosea kuniumba mwanadanu.
Hizo ni tabia za mbwa.