Mnayasababisha wenyewe halafu mnalalamika

Siwezi ujinga huu kamwe.
Mungu hakukosea kuniumba mwanadanu.
Hizo ni tabia za mbwa.
 
Bas mbwa ni wengiiii
Kama nimekuelewa nitakuomba simu na nitaanza kuukata mti mdogo mdogo sio kwa pupa.
Nikusome kidogo kwani sio kila anayevutia afaa kuwa naye.
 
Kama nimekuelewa nitakuomba simu na nitaanza kuukata mti mdogo mdogo sio kwa pupa.
Nikusome kidogo kwani sio kila anayevutia afaa kuwa naye.
Kwa ww mwenye akili zako ila kwa wanaume walio wengi wamekosa haya na soni
 
Tatizo wanawake waliowengi watokako walishaumizwa jwahiye mwanaume yoyote atakayetokea mbele yake lazima naye alipize kisasi kwa hiyo mizinga, na kuna mwanamke toka aingie kwenye mahusiano hajawahi kutendewa wema hata siku 1,
kutoa ni moyo..
kuna watu ni watoaji tu, na hii ni kwa wenye changamoto za kweli kabisa.
 
Wanaume wote duniani ni mbwa🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sasa mbususu na pesa wapi na wapi? Mtu Kama anataka kunipa mzigo Nile anipe tu na akininyima Basi sawi, Lakini sio mpaka nimpe pesa kwanza eti ndo naye anionee huruma ya kunipa mbususu.

Sex is a win- win situation and not a loose- win situation.It's a matter of feelings from both parties.
Kwani mliambiwa wanaume pekee ndo huwa wanapata Raha wakati wa sex
 
Ambao wanatoa bure wanapata faida gani ndugu?

Naweza kuwa siuzi ila naelewa kabisa kwanini wengine wanauza.
Kwamba ukibadilisha na hela unakuwa umejishusha value au umeipandisha? Wapi sasa dignity ya mwanamke? Unataka mahusiano yaendeshwe ivyo dada? Yan mtu akikuona tu aone anaweza kukununua tu kisa tu una price tag tayari? Ebu nieleze kwanini wanawake wamejiwekea price tag kama bidhaa?
 
Heheheeee!
 
Ukijiendekeza na hawa manywele ya kizungu utatembea tako moja wazi.Tafuta mali itakayokuelewa piga kid mtabariki mbele ya safari.
 
Kuna ambao ata kma haujaomba chululu wanaomba pesa,kwa trik ya kurejesha then wanakutega wanakupa deni linajifuta automatically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…