Mnazipendea nini hidden roof house?

Mnazipendea nini hidden roof house?

Naipenda hii aina ya ujenzi....vipi kama kuna mafundi wazuri tatizo linaweza kuepukika? Its my dream house

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kwa kifupi upauaji hauna tatizo ila mafundi ndiyo tatizo. Kumpata fundi mzuri sasa hapo ndiyo kazi kwa sababu kila mmoja atakuapia kuwa hiyo na kazi ndogo na ameshaifanya. Nyumba ikimalizika unabaki na ''mzigo'' wako...
 
Hapa naona kubadili mawazo mkuu japo huo ujenzi wenyewe bado sana

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Sio kila fundi aweza kujenga contemporary, ubahili wenu ndio unawafikisha hapo.

Fundi hajui hata kuna kitu kinaitwa DUCT...mnaishia kuwekewa mabombavya inch 4 eti yavune maji yote?

1. Hakuna duct ya kushusha maji
2. Slop ndogo
3. Hakuna mfereji mkubwa wa kuvuna maji
4. Ukutani kwenye maungio hskuna bitumen maalum

Unategemea isivuje?
ephen_
Naomba nikupe kazi mkandarasi! nazipenda sanaaa hizo nyumba tatizo fundi juma hachelewi kukuburudisha....Kama hicho simple daaah
 
Attachments

  • Screenshot_20231106-175618.jpg
    Screenshot_20231106-175618.jpg
    103.1 KB · Views: 15
Naomba nikupe kazi mkandarasi! nazipenda sanaaa hizo nyumba tatizo fundi juma hachelewi kukuburudisha....Kama hicho simple daaah
Labda nikupe siri;

Contemporary haitakiwi ijengwe na fundi tena fundi Maiko.
Ikiwa unatumia fundi hskikisha una Consultant.

Kazi ya roofing huanza kuandalia kuanzia ujenzi wa msingi.

#Ninarudia# roofing ya contemporary huanza huandaliwa kuanzia ujenxi wa msingi.

××××kuna kitu tunaita Duct×××

Huu ni uwazi maalum unatumiwa kwa ajili ya kushushia maji kutoka kwa paa.

So inaanza kwenye msingi.

Kwa ghorofa duct ni uwazi unatumika kupitishia mabomba ya maji machafu, umeme nk.

Kwa contemporary ni maalum kwa kushusha maji.

Ujenzi wa contemporary ni rahisi sana na gharama nafuu.

Note: ukisha jenga boma bila mshauri/consultant eti ukatafuta fundi wa roofing, uandae na mbegu za samaki kabisa
 
Bongo nyoso. Mafundi wa nyumba Bongo mbona wanahesabika! Niamini nachokuambia. Asilimia kubwa ya mafundi ni vilaza na asilimia kubwa ya nyumba ziko chini ya kiwango.
Watu wabaili matokeo ndio hayo, Ujenzi Gharama.

Shida inaanzia kwenye tofali limechakachuliwa.

Kwenye kulijengea mchakachuo,yani ukija kwenye bati ndio kabisa.

Ujenzi ukifata Viwango Hujengi Kwa maisha ya sasa labda tujenge nyumba za Nyasi. Acha tuweke weke tu hivyo hivyo
 
Ni nyumba za kisasa lakini bado hatuna mafundi wazuri wa kuweza kuzifanya ziendane na hali zote, zimekuwa ni nyumba nzuri sana kipindi cha kiangazi, kipindi cha mvua nyingi ni majanga matupu zinavuja mno lakini bado watu wanajenga sana nyumba kwa mtindo huo ambao sio rafiki hasa kipindi cha mvua.

Kuna mwenye nyumba hapa kila ikinyesha mvua lazima umuone fundi kapanda juu ya bati(navyotype tayari kuna fundi juu ya bati) na wapangaji wake wanalalamika sana maji kuingia ndani na kulowanisha vitu. Kila akiendelea kujenga style ni hiyo hiyo lawama nyingi akiziangushia kwa mafundi wake.

Mafundi upi ushauri wenu juu ya hili?
Upi ni mtindo mzuri wa kupaua nyumba kwa mazingira ya huku kwetu na aina ya mafundi tulionao mitaani?
View attachment 2805821
sizipendi hata kuziona,naonaga ni nyumba za kiarabu na jangwani. na ndio asili yake huko. huko jangwani kuna upepo, hawaweki roof wakiogopa upepo utaanua.
 
Labda nikupe siri;

Contemporary haitakiwi ijengwe na fundi tena fundi Maiko.
Ikiwa unatumia fundi hskikisha una Consultant.

Kazi ya roofing huanza kuandalia kuanzia ujenzi wa msingi.

#Ninarudia# roofing ya contemporary huanza huandaliwa kuanzia ujenxi wa msingi.

××××kuna kitu tunaita Duct×××

Huu ni uwazi maalum unatumiwa kwa ajili ya kushushia maji kutoka kwa paa.

So inaanza kwenye msingi.

Kwa ghorofa duct ni uwazi unatumika kupitishia mabomba ya maji machafu, umeme nk.

Kwa contemporary ni maalum kwa kushusha maji.

Ujenzi wa contemporary ni rahisi sana na gharama nafuu.

Note: ukisha jenga bomba bila mshauri/consultant eti ukatafuta futa wa roofing, uandae na mbegu za samaki kabisa
Dah,hili somo muhimu sana mkandarasi....nitakutafuta Kwa ushauri zaidi
 
toa hata kwenye mtandao tu picha ya mitaa ya israel yenye nyumba kama hiyo. hao hata kama ni middle east ila utamaduni wao wote ni wa kimagaribi wewe.
Hivi unaelewa unachobisha?
 
Attachments

  • Screenshot_20231106-184256.jpg
    Screenshot_20231106-184256.jpg
    114.7 KB · Views: 20
  • Screenshot_20231106-184228.jpg
    Screenshot_20231106-184228.jpg
    132.3 KB · Views: 20
  • Screenshot_20231106-184200.jpg
    Screenshot_20231106-184200.jpg
    119.7 KB · Views: 15
  • Screenshot_20231106-183530_1.jpg
    Screenshot_20231106-183530_1.jpg
    112.7 KB · Views: 21
Labda nikupe siri;

Contemporary haitakiwi ijengwe na fundi tena fundi Maiko.
Ikiwa unatumia fundi hskikisha una Consultant.

Kazi ya roofing huanza kuandalia kuanzia ujenzi wa msingi.

#Ninarudia# roofing ya contemporary huanza huandaliwa kuanzia ujenxi wa msingi.

××××kuna kitu tunaita Duct×××

Huu ni uwazi maalum unatumiwa kwa ajili ya kushushia maji kutoka kwa paa.

So inaanza kwenye msingi.

Kwa ghorofa duct ni uwazi unatumika kupitishia mabomba ya maji machafu, umeme nk.

Kwa contemporary ni maalum kwa kushusha maji.

Ujenzi wa contemporary ni rahisi sana na gharama nafuu.

Note: ukisha jenga bomba bila mshauri/consultant eti ukatafuta futa wa roofing, uandae na mbegu za samaki kabisa
Sahihi kabisa, maandalizi ya roofing ya contemporary yanafanyika wakati wa design ya nyumba, ukianza kuweka tofali tayari unajua roofing itakuwaje. Otherwise unatengeneza bomu.
 
Humu kila fundi sio fundi maiko muite uone,,,,

Nilichoona kwenye ujenzi kila fundi anamkosoa mwenzie unakuta umejenga nyumba ukamtumia fundi mmoja hadi kwenye lenta ukichukua mwingne cha kwanza anaanza kukosoa kazi ya mwenzie

Maana ya kumkosoa mwenzie ili umuone yeye anajua kuliko mwingine mwisho wa siku nayeye anatengeneza atakapoishia ukichukua mwingne anamkosoa alopita

Mafundi ni pasua kichwa sanah
 
Back
Top Bottom