macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kwa kifupi upauaji hauna tatizo ila mafundi ndiyo tatizo. Kumpata fundi mzuri sasa hapo ndiyo kazi kwa sababu kila mmoja atakuapia kuwa hiyo na kazi ndogo na ameshaifanya. Nyumba ikimalizika unabaki na ''mzigo'' wako...Naipenda hii aina ya ujenzi....vipi kama kuna mafundi wazuri tatizo linaweza kuepukika? Its my dream house
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hapa naona kubadili mawazo mkuu japo huo ujenzi wenyewe bado sanaKwa kifupi upauaji hauna tatizo ila mafundi ndiyo tatizo. Kumpata fundi mzuri sasa hapo ndiyo kazi kwa sababu kila mmoja atakuapia kuwa hiyo na kazi ndogo na ameshaifanya. Nyumba ikimalizika unabaki na ''mzigo'' wako...
Hahaha aa mwigulu ndo kasababishaNi uzembe wa CCM
Naomba nikupe kazi mkandarasi! nazipenda sanaaa hizo nyumba tatizo fundi juma hachelewi kukuburudisha....Kama hicho simple daaahSio kila fundi aweza kujenga contemporary, ubahili wenu ndio unawafikisha hapo.
Fundi hajui hata kuna kitu kinaitwa DUCT...mnaishia kuwekewa mabombavya inch 4 eti yavune maji yote?
1. Hakuna duct ya kushusha maji
2. Slop ndogo
3. Hakuna mfereji mkubwa wa kuvuna maji
4. Ukutani kwenye maungio hskuna bitumen maalum
Unategemea isivuje?
ephen_
Labda nikupe siri;Naomba nikupe kazi mkandarasi! nazipenda sanaaa hizo nyumba tatizo fundi juma hachelewi kukuburudisha....Kama hicho simple daaah
Mweh hii si el nino kabisaaa
Bro. Huwa sio mchoyo, kwa ujenzi nimwtoa wlimu kila mara kwenye nyuzi za ujenzi, hata hqpq ukifuqtilia utaonaMkuu kuwachamba watu sio fair. Ungesema hivyo ni vitu gani ili wadau waweze kuwachallenge mafundi na kufanya maamuzi sahihi
Mkuu endelea na moyo huohuo usichoke.Bro. Huwa sio mchoyo, kwa ujenzi nimwtoa wlimu kila mara kwenye nyuzi za ujenzi, hata hqpq ukifuqtilia utaona
Usiwezi kuacha kueoeza kile ninachokijua vizuriMkuu endelea na moyo huohuo usichoke.
Watu wabaili matokeo ndio hayo, Ujenzi Gharama.Bongo nyoso. Mafundi wa nyumba Bongo mbona wanahesabika! Niamini nachokuambia. Asilimia kubwa ya mafundi ni vilaza na asilimia kubwa ya nyumba ziko chini ya kiwango.
sizipendi hata kuziona,naonaga ni nyumba za kiarabu na jangwani. na ndio asili yake huko. huko jangwani kuna upepo, hawaweki roof wakiogopa upepo utaanua.Ni nyumba za kisasa lakini bado hatuna mafundi wazuri wa kuweza kuzifanya ziendane na hali zote, zimekuwa ni nyumba nzuri sana kipindi cha kiangazi, kipindi cha mvua nyingi ni majanga matupu zinavuja mno lakini bado watu wanajenga sana nyumba kwa mtindo huo ambao sio rafiki hasa kipindi cha mvua.
Kuna mwenye nyumba hapa kila ikinyesha mvua lazima umuone fundi kapanda juu ya bati(navyotype tayari kuna fundi juu ya bati) na wapangaji wake wanalalamika sana maji kuingia ndani na kulowanisha vitu. Kila akiendelea kujenga style ni hiyo hiyo lawama nyingi akiziangushia kwa mafundi wake.
Mafundi upi ushauri wenu juu ya hili?
Upi ni mtindo mzuri wa kupaua nyumba kwa mazingira ya huku kwetu na aina ya mafundi tulionao mitaani?
View attachment 2805821
Dah,hili somo muhimu sana mkandarasi....nitakutafuta Kwa ushauri zaidiLabda nikupe siri;
Contemporary haitakiwi ijengwe na fundi tena fundi Maiko.
Ikiwa unatumia fundi hskikisha una Consultant.
Kazi ya roofing huanza kuandalia kuanzia ujenzi wa msingi.
#Ninarudia# roofing ya contemporary huanza huandaliwa kuanzia ujenxi wa msingi.
××××kuna kitu tunaita Duct×××
Huu ni uwazi maalum unatumiwa kwa ajili ya kushushia maji kutoka kwa paa.
So inaanza kwenye msingi.
Kwa ghorofa duct ni uwazi unatumika kupitishia mabomba ya maji machafu, umeme nk.
Kwa contemporary ni maalum kwa kushusha maji.
Ujenzi wa contemporary ni rahisi sana na gharama nafuu.
Note: ukisha jenga bomba bila mshauri/consultant eti ukatafuta futa wa roofing, uandae na mbegu za samaki kabisa
Sasa mbona unajina la urabuni Kwa Nini hupendi nyumba zao😁😁😁sizipendi hata kuziona,naonaga ni nyumba za kiarabu na jangwani. na ndio asili yake huko. huko jangwani kuna upepo, hawaweki roof wakiogopa upepo utaanua.
hili ni jina la kiyahudi, na mfalme sulemani alikuwa mfalme wa israel.pale israel hukuti nyumba ya kindezi kama hiyo.Sasa mbona unajina la urabuni Kwa Nini hupendi nyumba zao😁😁😁
Uongoo hizo nyumba zimejaa Israel ndio asili Yao,,waarabu na wayahudi Wana mambo kibao wanashabihianahili ni jina la kiyahudi, na mfalme sulemani alikuwa mfalme wa israel.pale israel hukuti nyumba ya kindezi kama hiyo.
toa hata kwenye mtandao tu picha ya mitaa ya israel yenye nyumba kama hiyo. hao hata kama ni middle east ila utamaduni wao wote ni wa kimagaribi wewe.Uongoo hizo nyumba zimejaa Israel ndio asili Yao,,waarabu na wayahudi Wana mambo kibao wanashabihiana
Hivi unaelewa unachobisha?toa hata kwenye mtandao tu picha ya mitaa ya israel yenye nyumba kama hiyo. hao hata kama ni middle east ila utamaduni wao wote ni wa kimagaribi wewe.
Sahihi kabisa, maandalizi ya roofing ya contemporary yanafanyika wakati wa design ya nyumba, ukianza kuweka tofali tayari unajua roofing itakuwaje. Otherwise unatengeneza bomu.Labda nikupe siri;
Contemporary haitakiwi ijengwe na fundi tena fundi Maiko.
Ikiwa unatumia fundi hskikisha una Consultant.
Kazi ya roofing huanza kuandalia kuanzia ujenzi wa msingi.
#Ninarudia# roofing ya contemporary huanza huandaliwa kuanzia ujenxi wa msingi.
××××kuna kitu tunaita Duct×××
Huu ni uwazi maalum unatumiwa kwa ajili ya kushushia maji kutoka kwa paa.
So inaanza kwenye msingi.
Kwa ghorofa duct ni uwazi unatumika kupitishia mabomba ya maji machafu, umeme nk.
Kwa contemporary ni maalum kwa kushusha maji.
Ujenzi wa contemporary ni rahisi sana na gharama nafuu.
Note: ukisha jenga bomba bila mshauri/consultant eti ukatafuta futa wa roofing, uandae na mbegu za samaki kabisa