Mnazipendea nini hidden roof house?

Nimepita Tengeru kuna chuo pale TTC wamejenga library kubwa kama mita 30x30 halafu wameezeka huo mtindo jengo halitumiki linavuja balaa
 
Kwanza hata hazivutii. Ni kama majengo ya biashara au zile zilikuwa zinajengwa na mkoloni, utazikuta kwenye miji ya zamani.
Hazivutii au huna pesa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna nyumba zinashinda hizi contemporary Kwa muonekano? Unadhani zinawika sana Kwa sababu ipi?

Hizo nyumba zinaongoza Kwa mvuto na zinaruhusu kuweka mbwembwe za Kila aina,hizo pitch roof ni nyumba za maskini Kila mtu anaweza Jenga
 
Punguza ushamba. Usidhani comtemporary ni neno kubwa sana. Contemporary linamaanisha "ya kisasa" . Contemporary house ni nyumba ya kisasa. Sasa hizo hidden roof zipo toka enzi za mkoloni zinakuwaje za kisasa? Yaani mchoraji anakuingiza king kwa kukwambia hayo mabanda yaliyokuwepo toka enzi za mkoloni ni contemporary nawe unaingia!!? Muache kuita hayo mabanda contemporary.
 
Yangekuwa mabanda hata wewe ungejenga,isingekuwa big agenja mjini.
 
Mafundi mbona wapo tu
 
Nmekuelewa mkuu nimezingatia neno profesheno. Shukrani
 
Mafundi wengi hawana utaalamu,bado ni vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…